Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepita YouTube watanzania wamemwaga povu ambalo sijawahi kulishuhudia tokea nizaliwe kha kwa kweli watanzania nimewavulia kofia hilo puvu aliloshushiwa huyo gavana atajuta kumchokonoa Magufuli na Tanzania.
Kwa kifupi huyu gavana ana lugha chafu sana na anaonekana ni mvuta bangi chronic kiasi cha kukosa maadili ya kuongea na kiongozi wa nchi utadhani anaongea na hawara yake kiukweli nimewapenda watanzania wenzangu kwa huo mnyuko naomba muendelee hivyo hivyo popote wapuuzi wapuuzi kama hawa wanapotaka kuleta ufala kwenye maslahi mapana ya taifa
Hawezi kuwa sawa na bulldozer chezea JPM weye
Hahaha kumbe warundi ndio waliowachabanga 42 :1, mtaisoma number
Nenda maeneo ya wafugaji wanaopakana hifadhi ushuhudie jinsi wafugaji walivyofanywa masikini wa kutupwa kwa amri za hovyo hovyo .100% za comments za watanzania zimeonesha hayupo sahihi wapinzani mpo jf tu mitaani huko kila mtu JPM ndo maana mlipigwa 42;1
Hahaha acha kujifariji mnyuko umeingia haujaingia? JPM ni moto ukimgusa JPM umewagusa watanzania na utasasambuliwa mpaka usitamanike kudadekisasa hii post na klip imesaidia kujua hao jinsi wa254 walivyommwaga jamaa.ni bora hata usingeileta tusingejua bwana mkubwa anavyoonekana wa ovyo. na hao walijibu kwa povu wamethibitisha tu kwamba wa255 akili zetu zinafanana tu na nanihii wetu. kazi kweli kweli
Hahaha acha kujifariji mnyuko umeingia haujaingia? JPM ni moto ukimgusa JPM umewagusa watanzania na utasasambuliwa mpaka usitamanike kudadeki
Wewe jianaume kama hipigi pushups basi unapigiwa na mwenzio
DUH!HILO GAVANA BICHWA MAJI KABISA,CHEKI BICHWA LAKE UTAFIKIRI JEKI YA TRENI!!
Sio akili wewe!watu wenye mabichwa km hayo yanakuaga na maji nenda muhi2 ukajionee!Kichwa yake ina akili kushinda huyo wenu mwenye bonde kichwani
Go back to school little girl acha kuandika usiyoyajuaPushups muhimu ulitaka apige nini? Yeye sio mcheza puli kama weye ati
Sio akili wewe!watu wenye mabichwa km hayo yanakuaga na maji nenda muhi2 ukajionee!
Nimepita YouTube watanzania wamemwaga povu ambalo sijawahi kulishuhudia tokea nizaliwe kha kwa kweli watanzania nimewavulia kofia hilo puvu aliloshushiwa huyo gavana atajuta kumchokonoa Magufuli na Tanzania.
Kwa kifupi huyu gavana ana lugha chafu sana na anaonekana ni mvuta bangi chronic kiasi cha kukosa maadili ya kuongea na kiongozi wa nchi utadhani anaongea na hawara yake kiukweli nimewapenda watanzania wenzangu kwa huo mnyuko naomba muendelee hivyo hivyo popote wapuuzi wapuuzi kama hawa wanapotaka kuleta ufala kwenye maslahi mapana ya taifa
Nimeiona Tanzania pekee, ikipigwa na the man himself, tinga tinga.Jibu hoja sio unajibu kama una nye.ge punguza mihemuko
Ulishawahi ona wapi mgombea anapiga pushups jukwaani??