Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Nimepita YouTube watanzania wamemwaga povu ambalo sijawahi kulishuhudia tokea nizaliwe kha kwa kweli watanzania nimewavulia kofia hilo puvu aliloshushiwa huyo gavana atajuta kumchokonoa Magufuli na Tanzania.
Kwa kifupi huyu gavana ana lugha chafu sana na anaonekana ni mvuta bangi chronic kiasi cha kukosa maadili ya kuongea na kiongozi wa nchi utadhani anaongea na hawara yake kiukweli nimewapenda watanzania wenzangu kwa huo mnyuko naomba muendelee hivyo hivyo popote wapuuzi wapuuzi kama hawa wanapotaka kuleta ufala kwenye maslahi mapana ya taifa