Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,665
Watanzania wana akili sana, inategemea unakujaje, utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewa, anachokitafuta Mwamposa atakipata
Aposto amekuwa mtu wa kurusha sana vijembe kwa Watanzania, jambo linaloleta mtafaruko mkubwa sana ndani ya fikra za watu
Nina uhakika hili fukuto litakwenda kummaliza Aposto moja kwa moja kwasababu ya kupambana na Watanzania, inategemea umekujaje, utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewa
Aposto alianza kwa kuharibu uwekezaji wa kampuni za mitandao ya kijamii kwa kudai kuwa mitandao ya kijamii ni janga la dunia jambo ambalo halina ukweli
Mitandao ya kijamii imekuwa uwanja wa fursa za kila aina, watumiaji wengi wamebadilisha maisha yao kwa kupandisha uchumi wao kutokana na shughuli mbalimbali wanazofanya mitandaoni mfano biashara, uwekezaji na mengineyo megi
Aposto akaona asiishie hapo aende mbele zaidi na kuwaita Watanzania ni wavivu kwa maana kwamba yeye peke yake ndiye anayefanya kazi nchi nzima, madai ya uvivu ni ya kipumbavu kwasababu kila tunapopita tunaona Watanzania wengi wakijenga nyumba za kisasa tafsiri yake ni kuwa uchapakazi ni wa hali ya juu sana kinyume na hapo tusingeweza kuona ujenzi huu wa kisasa ulivyoshamiri
Uvivu anaouzungumzia Aposto nadhani ni wingi wa watu wanaohitaji huduma zake za kiroho na kukesha kanisani wakinunua udongo na maji pamoja na mikesha ya vuka na chako sasa fedha kwake zimekuwa ninyi kiasi kwamba ameanza kurusha matusi kwa waumini wake kuwa ni wavivu
Ni wakatia sasa Watanzania waache kunenepesha mfuko wake wajikite zaidi kwenye maswala mengine kwasababu pamoja na kumnenepesha bado amekuwa akiwatukana
Watanzania wana mafaili yake mengi tu yaliyojaa uchafu wa kila aina nadhani ni siku sahihi haijafika waachilie uchafu wake ili huduma yake ijae mavi