Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo

Ni uzushi tu wa lissu kujaribu kutaka kumchafua Mwamba.ndio maana unaona hana ushahidi wa aina yoyote ile zaidi ya kuitumia Marekani kama ndio ushahidi wake.jambo ambalo nimelitolea ufafanuzi kwenye andiko langu.

Muite Simba please, mama yako kasema! we ni nani usitaje jina kamili. Kwa simba kila chawa atapiga goti
 
IMG_5563.jpeg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa kusema ya kuwa Lissu atahangaika sana,ataongea sana lakini kamwe na katu hataweza kumchafua wala kushusha imani waliyonayo watanzania kwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.

Ambayo imejengwa katika misingi ya uchapakazi, uzalendo,utu,huruma na ujasiri Mkubwa alionao Mwamba Mwenyewe Paul Makonda .ambaye amekuwa mtetezi wao kwa kila nafasi anayoipata na kuaminiwa na Mheshimiwa Rais ya kuwatumikia watanzania.

Nimesikia akiongelea na kujaribu kumchafua Mwamba Makonda kuwa Kwanini ameteuliwa ukuu wa Mkoa Wakati anatuhumiwa kupora vitu kama vile magari ya watu. Swali la kumuuliza lissu ni kuwa ni nani huyo aliyeporwa magari? Ni nani huyo aliyeporwa mali na Mwamba Makonda?

Kesi ipo katika mahakama ipi na ni kesi namba ngapi ya mwaka gani? Mwenendo wa kesi umefikia wapi? Inasimamiwa na jaji yupi? magari hayo yaliyoporwa ni aina gari,namba zake zipo wapi? Nyaraka za magari hayo zipo wapi kuthibitisha uporaji huo? Kwanini lisu anatuhumu bila ushahidi wa aina yoyote ile?

Anaposema Mwamba Makonda alizuiliwa na Marekani kwa sababu ya kufanya vitendo vya kihalifu .swali ni kuwa Marekani ni nani?

Je siyo Marekani huyo huyo aliituhumu Ilaki chini ya Saddam Hussein kuwa Inamiliki silaha za Maangamizi? Je mumewahi kuonyeshwa silaha hizo za maangamizi? Mumewahi kuonyeshwa kiwanda cha silaha hizo na shehena ya silaha hizo za maangamizi zilizokutwa?

Je siyo Marekani hiyo hiyo ilimtuhumu Muamar Gaddafi kuwa anaua watu wake na kwamba anakandamiza demokrasia? Je tangia amefariki Gaddafi mmeiona hiyo democrasia Libya? Je maisha waliyoishi Walibya chini ya Gaddafi ndio haya wanayoishi Walibya Leo? Libya ya Gaddafi ndio hii ya Sasa? Je kuna amani tena Libya? Kuna utulivu? Kuna demokrasia?

Hamuoni zilikuwa ni hujuma tu za Marekani? Hamuoni na kufahamu ya kuwa vita ya Marekani na hasira zao ilikuwa ni kitendo cha Mwamba Mwenyewe Paul Makonda kupiga vita sana Mashoga na watu wote waliokuwa wanajihusisha na vitendo vya kishoga? Je hamfahamu kuwa Marekani inaunga mkono vitendo vya kishoga kwa kauli ya haki za binadamu? Hamfahamu kuwa Marekani inapambana sana na kwa gharama kubwa na kwa kila aina ya ushawishi kuingiza uchafu huo wa ushoga barani Afrika ?Je wewe mtanzania mwenye akili Timamu na mwenye hofu ya Mungu unaweza kuunga mkono ushetani huo?

Sasa kwanini msifahamu na kuelewa ya kuwa Mwamba Makonda alichafuliwa na Marekani kwa sababu tu ya kitendo na hatua zake za kupinga ushoga hadharani?

Kwa hiyo niseme wazi kuwa lissu hawezi kumchafua Mwamba Makonda kwa namna yoyote ile ,wala kuondoa Imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda. Lissu atahangaika sana pengine kwa kutumiwa na wabaya wa Mwamba kujaribu kumpaka matope ,kumshushia heshima,kumtoa kwenye reli,kumvuruga ,kumnyong'onyesha na kumdhoofisha lakini kamwe hataweza kufanikiwa hata kidogo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kuna msemo unasema kuwa, siku ya nyoka kufa hutoka shimoni kwenda kujilaza barabarani ili apigwe/agongwe vizuri afe.
 
Nani ana Imani na bashite mfoji vyeti, anachoweza ni uchawa wa kujitoa mhanga, nje ya hapo ni mpigaji, mfujaji wa pesa za wananchi, kawaua binadamu wengi ili kufirahisha viongozi, beni sanane, kuongoza genge la kumuua Lisu dodoma, kumteka mo wa Simba.....kibaka mkubwa huyo
 
Maneno bila ushahidi ni ujinga na utoto tu wa kuropoka ropoka tu
 
Sijasoma hili andiko kwa sababu sijaona umuhimu wa kufanya hivyo lakini ni kwamba Makonda alifanya hivyo baada ya kutumwa na dikteta Magufuli ambaye kwa akili zake alifikiri urais ni uungu.

Serikali ya sasa na yenyewe ipo kulinda maovu ya serikali iliyopita ikiamini kwamba na yenyewe itakuja kulindwa maovu yake na serikali nyingine watakayoiweka mamlakani.

Kama Makonda anaweza akapelekwa kwenye mahakama nchini Uingereza ili akakabiliane na tuhuma zinazomkabili itakuwa ni ushindi mkubwa kwa haki kwani mahakama zetu ni vyombo vinavyotumiwa na serikali kunyanyasa raia wake kwani haziwezi kutoa haki yoyote kwa mhanga wa serikali hiyohiyo.
 
Wewe ndiye una imani naye kwa vile ndiye anakupa hela za kuja kujaza upuuzi wako humu. Huyo bwege sehemu anayostahili kuwa ni gerezani tu akisubiria kunyongwa hadi afe
Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda anaaminiwa na kukubalika na mamilioni ya watanzania.ndio maana unaona na ulikuwa unaona namna watu ambavyo hufurika na kumiminika katika mikutano yake kumsikiliza na kumpelekea kero mbalimbali ili awasaidie.
 
Sijasoma hili andiko kwa sababu sijaona umuhimu wa kufanya hivyo lakini ni kwamba Makonda alifanya hivyo baada ya kutumwa na dikteta Magufuli ambaye kwa akili zake alifikiri urais ni uungu.

Serikali ya sasa na yenyewe ipo kulinda maovu ya serikali iliyopita ikiamini kwamba na yenyewe itakuja kulindwa maovu yake na serikali nyingine watakayoiweka mamlakani.

Kama Makonda anaweza akapelekwa kwenye mahakama nchini Uingereza ili akakabiliane na tuhuma zinazomkabili itakuwa ni ushindi mkubwa kwa haki kwani mahakama zetu ni vyombo vinavyotumiwa na serikali kunyanyasa raia wake kwani haziwezi kutoa haki yoyote kwa mhanga wa serikali hiyohiyo.
Hivi una matatizo ya akili? Hujasoma halafu unakurupukia kutoa maoni? Kweli ujinga ni mzigo sana.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa kusema ya kuwa Lissu atahangaika sana,ataongea sana lakini kamwe na katu hataweza kumchafua wala kushusha imani waliyonayo watanzania kwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.

Ambayo imejengwa katika misingi ya uchapakazi, uzalendo,utu,huruma na ujasiri Mkubwa alionao Mwamba Mwenyewe Paul Makonda .ambaye amekuwa mtetezi wao kwa kila nafasi anayoipata na kuaminiwa na Mheshimiwa Rais ya kuwatumikia watanzania.

Nimesikia akiongelea na kujaribu kumchafua Mwamba Makonda kuwa Kwanini ameteuliwa ukuu wa Mkoa Wakati anatuhumiwa kupora vitu kama vile magari ya watu. Swali la kumuuliza lissu ni kuwa ni nani huyo aliyeporwa magari? Ni nani huyo aliyeporwa mali na Mwamba Makonda?

Kesi ipo katika mahakama ipi na ni kesi namba ngapi ya mwaka gani? Mwenendo wa kesi umefikia wapi? Inasimamiwa na jaji yupi? magari hayo yaliyoporwa ni aina gani?,namba zake zipo wapi? Nyaraka za magari hayo zipo wapi kuthibitisha uporaji huo? Kwanini lisu anatuhumu bila ushahidi wa aina yoyote ile?

Anaposema Mwamba Makonda alizuiliwa na Marekani kwa sababu ya kufanya vitendo vya kihalifu .swali ni kuwa Marekani ni nani?

Je siyo Marekani huyo huyo aliituhumu Ilaki chini ya Saddam Hussein kuwa Inamiliki silaha za Maangamizi? Je mumewahi kuonyeshwa silaha hizo za maangamizi? Mumewahi kuonyeshwa kiwanda cha silaha hizo na shehena ya silaha hizo za maangamizi zilizokutwa?

Je siyo Marekani hiyo hiyo ilimtuhumu Muamar Gaddafi kuwa anaua watu wake na kwamba anakandamiza demokrasia? Je tangia amefariki Gaddafi mmeiona hiyo democrasia Libya? Je maisha waliyoishi Walibya chini ya Gaddafi ndio haya wanayoishi Walibya Leo? Libya ya Gaddafi ndio hii ya Sasa? Je kuna amani tena Libya? Kuna utulivu? Kuna demokrasia?

Hamuoni zilikuwa ni hujuma tu za Marekani? Hamuoni na kufahamu ya kuwa vita ya Marekani na hasira zao ilikuwa ni kitendo cha Mwamba Mwenyewe Paul Makonda kupiga vita sana Mashoga na watu wote waliokuwa wanajihusisha na vitendo vya kishoga? Je hamfahamu kuwa Marekani inaunga mkono vitendo vya kishoga kwa kauli ya haki za binadamu? Hamfahamu kuwa Marekani inapambana sana na kwa gharama kubwa na kwa kila aina ya ushawishi kuingiza uchafu huo wa ushoga barani Afrika ?Je wewe mtanzania mwenye akili Timamu na mwenye hofu ya Mungu unaweza kuunga mkono ushetani huo?

Sasa kwanini msifahamu na kuelewa ya kuwa Mwamba Makonda alichafuliwa na Marekani kwa sababu tu ya kitendo na hatua zake za kupinga ushoga hadharani?

Kwa hiyo niseme wazi kuwa lissu hawezi kumchafua Mwamba Makonda kwa namna yoyote ile ,wala kuondoa Imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda. Lissu atahangaika sana pengine kwa kutumiwa na wabaya wa Mwamba kujaribu kumpaka matope ,kumshushia heshima,kumtoa kwenye reli,kumvuruga ,kumnyong'onyesha na kumdhoofisha lakini kamwe hataweza kufanikiwa hata kidogo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Sio kila Jambo la kutetea,

Mengine kaa kimya Tu
 
Hapo kwenye kuivamia Iraq na kudai kua Saddam Hussein ana silaha za maangamizi za WMD umepiga kwenye mshono,mpaka leo hawajawahi kuonyesha hizo silaha,

Hata kuivamia Libya ilikua ni propaganda tu,US hua anafanya vitu kwa manufaa yao wala hawezi kufanya jambo eti kwa manufaa ya watu wengine,

Silaha zao ndio zinazoua Wanawake na Watoto kule Gaza mpaka sasa.
Umeongea ukweli mchungu sana .kuwa kwa sasa silaha zake zinaua watu kila siku kuanzia watoto,akina mama hadi wazee kule mashariki ya kati
 
Back
Top Bottom