Shida ya watanzania wanazinduka kwa makundi makundi, leo wanazinduka wamachinga, kesho bodaboda, keshokutwa wakulima, mtondogoo watumishi wa umma. Haya leo unatuambia wakazi wa Ngorongoro ndio wamezinduka. Hatuna umoja.
Tutachelewa sana kuwatingisha watawala waone kuwa hapo walipo ni kwa hisani ya wananchi.