Watanzania wanaanza kuzinduka, wasema serikali ikachaguliwe na tembo kwakuwa wanawathamini sana kuliko wao

Watanzania wanaanza kuzinduka, wasema serikali ikachaguliwe na tembo kwakuwa wanawathamini sana kuliko wao

Uchaguzi utakuwa vizuri tu na tutashinda kwa kishindo kama kawaida yetu kushinda ni jadi yetu.
Usiseme kushinda, sema ushetani wa kupora kura ni jadi yenu. Hakuna asiyeujua ushetani wenu.
 
🤣😂😂😂
mpaka hapo huna cha kumshauri tena,...🤣😂
 
Shida ya watanzania wanazinduka kwa makundi makundi, leo wanazinduka wamachinga, kesho bodaboda, keshokutwa wakulima, mtondogoo watumishi wa umma. Haya leo unatuambia wakazi wa Ngorongoro ndio wamezinduka. Hatuna umoja.

Tutachelewa sana kuwatingisha watawala waone kuwa hapo walipo ni kwa hisani ya wananchi.
 
Back
Top Bottom