Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Serikali haina dini ila watu waliomo katika serikali wanamisingi ya dini, zipo theory ambazo zinaelezea tabia ya binadamu inavyoathiri taasisi/utendaji kazi mfano wa behaviorism theory japo kuna code of conduct zimetazamiwa kumctrol muhusika ila effect ya kinachomtengeza kinakuwepo akiwa katika ngazi ya juu ataajili wadini, kabila au wachawi wenzie.
Sheria au maamuzi kandamizi dhidi ya watu wengine zitakuwa ni zenye kujirudia, sometimes unaweza kusema CCM wanalindana katika upigaji wao ila kuna muda wanalinda brand ya chama chao(party concurs) na favoritism itakuwepo, kwa maana hiyo unaweza kuwaona watanzania ni wapumbavu katika kuandamana mnavyoita kudai haki ila inahofu ujinga kama huu utajitokeza wakishika madaraka nyanda za kaskazini.
May be there are things will happen like imbalance of development in social services,i nfrastructure and so on.