Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Mamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Lissu. Nini haswa siri ya mafanikio?
- Kwa sababu ya sera zake nzuri na ahadi zinazotekelezeka?
- Kwa sababu Watanzania wameichoka CCM?
- Kwa sababu Watanzania wameishi vibaya na Mh JPM Sasa hawamtaki tena?