Uchaguzi 2020 Watanzania wanamuunga mkono Lissu ni kwa sababu ya sera?

Uchaguzi 2020 Watanzania wanamuunga mkono Lissu ni kwa sababu ya sera?

Ni MAZWAZWA tu kama wewe wanaosherehekea Maendeleo FAKE ambayo yanatuletea hasara kubwa walipa kodi. Angalia ununuzi wa ndege ambao si kipaumbele cha Watanzania sasa hasara ni mabilioni ya pesa zetu walipa kodi lakini ZWAZWA wewe unashangilia. Angalia ujenzi wa chato airport bilioni 200 bila idhini ya Bunge kwa ndege moja tu lakini MPUUZI wewe hili hulioni. 2.7 trillions zimepotea hazina hizi ziko kwenye ripoti za CAG Assad na Kichere uchunguzi kaugomea lakini ZWAZWA wewe hulioni hilo. Amka wewe acha kuchapa usingizi huku Nchi yako INAFILISIWA!
Nyie ndio wajinga nambari moja aliyewaambia kuwa wapinzani ni kupinga kila kitu ni nani?

Na kama sio kushabikia floods hiyo link yako ni ya nini?

Mpunguze upambavu japo kidogo

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ni MAZWAZWA tu kama wewe wanaosherehekea Maendeleo FAKE ambayo yanatuletea hasara kubwa walipa kodi. Angalia ununuzi wa ndege ambao si kipaumbele cha Watanzania sasa hasara ni mabilioni ya pesa zetu walipa kodi lakini ZWAZWA wewe unashangilia. Angalia ujenzi wa chato airport bilioni 200 bila idhini ya Bunge kwa ndege moja tu lakini MPUUZI wewe hili hulioni. 2.7 trillions zimepotea hazina hizi ziko kwenye ripoti za CAG Assad na Kichere uchunguzi kaugomea lakini ZWAZWA wewe hulioni hilo. Amka wewe acha kuchapa usingizi huku Nchi yako INAFILISIWA!
Kwahiyo unachotaka kutuambia hapa tukitaka kufanya maendeleo tunatakiwa tuanze kuwauliza watu wewe unataka nini? As if tunagawa chakula kwenye sherehe

Akili zingine aisee ila ndio inabidi tuvumiliane hivyo hivyo.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kama ni ngumbaru kaa kimya badala ya kuonyesha UJUHA wako hadharani kwa kutoelewa nilichokiandika. Wapi nilipoandika watu waulizwe mimi nataka nini!? Akili za wapi hizi!? 😳😳😳
Kwahiyo unachotaka kutuambia hapa tukitaka kufanya maendeleo tunatakiwa tuanze kuwauliza watu wewe unataka nini? As if tunagawa chakula kwenye sherehe..
 
Sababu zipo nyingi; tutaje baadhi tu.
1. Lissu anajua maana ya kuwa mwanasiasa. Mwanasiasa ni mtu wa kuvutia watu kwa hoja zenye ushawishi.
2. Pendekezo la Lissu la kutaka mdahalo wa wazi wa wagombea urais umemuongezea umaarufu kwani washindani wake wamekosa ujasiri wa kupambana naye.
3. Katika miaka 5 iliyopita nchi imekuwa na ombwe la uongozi wa kisiasa na Lissu anaonyesha dalili za kuziba ombwe hilo.
4. Vyama vya upinzani kwa ujumla zinajinadi kwa sera ambazo zinatokana na makosa ya kisiasa yaliyofanyika katika awamu hii ya tano na ambayo yamewagusa wananchi moja kwa moja
5. Watanzania wanatambua manufaa ya vyama vingi vya siasa na wamechukizwa na jitihada zinazofanyika kuua mfumo huo. Lissu anaonekana mbeba maono wa kupigania mfumo wa vyama vingi.
6. Lissu anao upeo mkubwa kisiasa, mwanasheria mahiri na mtetezi wa haki za watu ambaye amekuja wakati ambapo nchi imeshuhudia kuporomoka kwa kiwango kikubwa kwa utawala wa bora na haki za binadamu.
 
Mamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Lissu. Nini haswa siri ya mafanikio?
  1. Kwa sababu ya sera zake nzuri na ahadi zinazotekelezeka?
  2. Kwa sababu Watanzania wameichoka CCM?
  3. Kwa sababu Watanzania wameishi vibaya na Mh JPM Sasa hawamtaki tena?
Naomba mjadala nadhifu!
Yote matatu ni majibu sahihi , ila kingine ulichokificha ni hiki , watanzania wamechoka na mauaji na utekaji
 
Kwa hiyo USA kama kuna floods na Tanzania ndiyo kuwe na floods? Mbona Rais wa USA hateui wasimamia chaguzi kule lakini hilo hapa hulipigii debe!? Acha UZWAZWA wewe wa kutaka kuhalalisha uzembe kwa sababu tu unatokea na USA!
Trust me, achilia mbali swala la Urais,mpaka sasa uhakika wakurudisha majimbo yenu yote mliyokuwa nayo ni mdogo sana,na hili hata kiongozi wenu Mbowe analijua.

Raia WATUCHUKUA WATAWEKA WAAAAH..!🤣🤣.
 
Mamilioni ya wapi na wewe acha upambe?

Watanzania wanataka maendeleo sio mambo ya uanaharakati haya yaliisha toka enzi za TAA maana TANU yenyewe ilijikita katika kuleta maendeleo.

Hapa mimi najiuliza sijui JPM ataapishiwa Dar au Dodoma maana kuhusu kushinda hiyo inaeleweka ni kama Pie (22/7 ) yaani USHINDI WA KISHINDO WA JPM HAUEPUKIKI.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Endelea kuota ndoto za mchana na kama unataka kupata uteuzi basi ni bora ukae upande wa lissu ambae ni mshindi tayari
Kwa ufupi ccm haishindi mwaka huu
 
Endelea kuota ndoto za mchana na kama unataka kupata uteuzi basi ni bora ukae upande wa lissu ambae ni mshindi tayari
Kwa ufupi ccm haishindi mwaka huu
Lisu kushinda ni ndoto za mchana labda ashinde na njaa.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mamilioni ya wapi na wewe acha upambe?

Watanzania wanataka maendeleo sio mambo ya uanaharakati haya yaliisha toka enzi za TAA maana TANU yenyewe ilijikita katika kuleta maendeleo.

Hapa mimi najiuliza sijui JPM ataapishiwa Dar au Dodoma maana kuhusu kushinda hiyo inaeleweka ni kama Pie (22/7 ) yaani USHINDI WA KISHINDO WA JPM HAUEPUKIKI.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
achaneni na mambo ya pythogoras .....hiii ni tanzania watu tulichokipitia miaka mitano tunakielewa
 
Sasa kinachowafanya mshabikie floods wakati ndugu zetu wamepoteza maisha ni nini kama sio UZANDIKI NA UFITINI.

CCM OCTOBER 28TH USHINDI WAKE UTAKUWA WA KISHINDO.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA

Najua hata wewe hupendi ujinga sema,kuna maslahi yako binafsi unayalinda.

Mwenye akili yoyote ameshachoka.miaka mitano imekua mingi ka miaka 15.Nchi imeharibika sana kabisa.sekta zote zimevurugwa zikavurugika kabisa
 
Tupo katika mikono salama ya Mzalendo wa kweli.
October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Lissu. Nini haswa siri ya mafanikio?
  1. Kwa sababu ya sera zake nzuri na ahadi zinazotekelezeka?
  2. Kwa sababu Watanzania wameichoka CCM?
  3. Kwa sababu Watanzania wameishi vibaya na Mh JPM Sasa hawamtaki tena?
Naomba mjadala nadhifu!
2 na 3 ziko sahihi
 
Lisu kushinda ni ndoto za mchana labda ashinde na njaa.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
This time hakuna namna ya kuiba kura my friend, huyo siyo lowassa, na watanzania wote tuko upande wake, yani tafuteni kazi nyingine za kufanya
 
Mbona mimi,yeye na yule tupo na JPM kasoro wewe tuu.

Kura zote zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
1.Watanzania huwa hawana utaratibu wa kufutilia sera.

2.Watanzania wangekuwa wameichoka ccm basi wangeonesha hilo kwa kutokuhudhuria mikutano ya ccm ila ndio kwanza wanajazana na kuburudika show za Ali kiba na Diamond.

3.Wangemchoka JPM wasingekuwa wanaenda kusimama barabarani kumsubiri JPM apite wamsimamishe na kumuelezea kero zao.
 
Hivi Lissu angehamia ACT kama Maalim Seif,unafikiri hali ingekuaje ni kwamba angewazoa hawa wafuasi na kwenda nao ACT?
 
Back
Top Bottom