Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Mamilioni ya wapi na wewe acha upambe?
Watanzania wanataka maendeleo sio mambo ya uanaharakati haya yaliisha toka enzi za TAA maana TANU yenyewe ilijikita katika kuleta maendeleo...
Mnajifurahisha tuu USA yenyewe inapatwa na floods itakuwa Tanzania.Watanzania tunaojitambua tumechoshwa na mediocre performance
Ni vizuri kujifariji.Mamilioni ya wapi na wewe acha upambe?
Watanzania wanataka maendeleo sio mambo ya uanaharakati haya yaliisha toka enzi za TAA maana TANU yenyewe ilijikita katika kuleta maendeleo...
Subiria October 28th ndio utajua haujui kama ilivyo ada..Unatia huruma kweli unavyojitutumua kuandika UTOPOLO wa Lumumba kwa msaada wa nguvu ya buku 7....
Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
Mwenzenu ana round trip air ticket October 29 yule Brussels mnabakia kwenye Mataa ila msijali CCM hatutawabagua tutashirikiana nanyi kuijenga Tanzania.Ni vizuri kujifariji.
Mnajifurahisha tuu USA yenyewe inapatwa na floods itakuwa Tanzania.
October 28th tutamchagua JPM kwa kishindo.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kwa hiyo USA kama kuna floods na Tanzania ndiyo kuwe na floods? Mbona Rais wa USA hateui wasimamia chaguzi kule lakini hilo hapa hulipigii debe!? Acha UZWAZWA wewe wa kutaka kuhalalisha uzembe kwa sababu tu unatokea na USA!
CCM OCTOBER 28TH USHINDI WAKE UTAKUWA WA KISHINDO.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Nyie ndio wajinga nambari moja aliyewaambia kuwa wapinzani ni kupinga kila kitu ni nani?Acha ujinga wewe! Hivi unajua maana ya neno kushabikia au UMEKURUPUKA TU! Huyo anayejiita MWENDAWAZIMU amekuwepo ujenzi katika awamu za Mkapa na Kikwete miaka 20 na miaka mitano Ikulu kwa maneno fasaha ni robo karne ameshindwa kutatua tatizo la mafuriko Dar. Hafai huyo ni mzembe tu.
Sasa kinachowafanya mshabikie floods wakati ndugu zetu wamepoteza maisha ni nini kama sio UZANDIKI NA UFITINI.
Sera ni za chama na sio za mtu, I stand to be correctedMamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Lissu. Nini haswa siri ya mafanikio?
Naomba mjadala NADHIIF!
- Kwa sababu ya sera zake nzuri na ahadi zinazotekelezeka?
- Kwa sababu Watanzania wameichoka CCM?
- Kwa sababu Watanzania wameishi vibaya na Mh JPM Sasa hawamtaki Tena?