Nyie ndio wajinga nambari moja aliyewaambia kuwa wapinzani ni kupinga kila kitu ni nani?
Na kama sio kushabikia floods hiyo link yako ni ya nini?
Mpunguze upambavu japo kidogo
October 28th kura zote ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kwahiyo unachotaka kutuambia hapa tukitaka kufanya maendeleo tunatakiwa tuanze kuwauliza watu wewe unataka nini? As if tunagawa chakula kwenye shereheNi MAZWAZWA tu kama wewe wanaosherehekea Maendeleo FAKE ambayo yanatuletea hasara kubwa walipa kodi. Angalia ununuzi wa ndege ambao si kipaumbele cha Watanzania sasa hasara ni mabilioni ya pesa zetu walipa kodi lakini ZWAZWA wewe unashangilia. Angalia ujenzi wa chato airport bilioni 200 bila idhini ya Bunge kwa ndege moja tu lakini MPUUZI wewe hili hulioni. 2.7 trillions zimepotea hazina hizi ziko kwenye ripoti za CAG Assad na Kichere uchunguzi kaugomea lakini ZWAZWA wewe hulioni hilo. Amka wewe acha kuchapa usingizi huku Nchi yako INAFILISIWA!
Kwahiyo unachotaka kutuambia hapa tukitaka kufanya maendeleo tunatakiwa tuanze kuwauliza watu wewe unataka nini? As if tunagawa chakula kwenye sherehe..
Pole sana, Lissu atakomesha mwaka huuAna akili wakati ofisi ya chadema ni gofu
Yote matatu ni majibu sahihi , ila kingine ulichokificha ni hiki , watanzania wamechoka na mauaji na utekajiMamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Lissu. Nini haswa siri ya mafanikio?
Naomba mjadala nadhifu!
- Kwa sababu ya sera zake nzuri na ahadi zinazotekelezeka?
- Kwa sababu Watanzania wameichoka CCM?
- Kwa sababu Watanzania wameishi vibaya na Mh JPM Sasa hawamtaki tena?
Trust me, achilia mbali swala la Urais,mpaka sasa uhakika wakurudisha majimbo yenu yote mliyokuwa nayo ni mdogo sana,na hili hata kiongozi wenu Mbowe analijua.Kwa hiyo USA kama kuna floods na Tanzania ndiyo kuwe na floods? Mbona Rais wa USA hateui wasimamia chaguzi kule lakini hilo hapa hulipigii debe!? Acha UZWAZWA wewe wa kutaka kuhalalisha uzembe kwa sababu tu unatokea na USA!
Endelea kuota ndoto za mchana na kama unataka kupata uteuzi basi ni bora ukae upande wa lissu ambae ni mshindi tayariMamilioni ya wapi na wewe acha upambe?
Watanzania wanataka maendeleo sio mambo ya uanaharakati haya yaliisha toka enzi za TAA maana TANU yenyewe ilijikita katika kuleta maendeleo.
Hapa mimi najiuliza sijui JPM ataapishiwa Dar au Dodoma maana kuhusu kushinda hiyo inaeleweka ni kama Pie (22/7 ) yaani USHINDI WA KISHINDO WA JPM HAUEPUKIKI.
October 28 kura zote ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Lisu kushinda ni ndoto za mchana labda ashinde na njaa.Endelea kuota ndoto za mchana na kama unataka kupata uteuzi basi ni bora ukae upande wa lissu ambae ni mshindi tayari
Kwa ufupi ccm haishindi mwaka huu
achaneni na mambo ya pythogoras .....hiii ni tanzania watu tulichokipitia miaka mitano tunakielewaMamilioni ya wapi na wewe acha upambe?
Watanzania wanataka maendeleo sio mambo ya uanaharakati haya yaliisha toka enzi za TAA maana TANU yenyewe ilijikita katika kuleta maendeleo.
Hapa mimi najiuliza sijui JPM ataapishiwa Dar au Dodoma maana kuhusu kushinda hiyo inaeleweka ni kama Pie (22/7 ) yaani USHINDI WA KISHINDO WA JPM HAUEPUKIKI.
October 28 kura zote ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Sasa kinachowafanya mshabikie floods wakati ndugu zetu wamepoteza maisha ni nini kama sio UZANDIKI NA UFITINI.
CCM OCTOBER 28TH USHINDI WAKE UTAKUWA WA KISHINDO.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
2 na 3 ziko sahihiMamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Lissu. Nini haswa siri ya mafanikio?
Naomba mjadala nadhifu!
- Kwa sababu ya sera zake nzuri na ahadi zinazotekelezeka?
- Kwa sababu Watanzania wameichoka CCM?
- Kwa sababu Watanzania wameishi vibaya na Mh JPM Sasa hawamtaki tena?
This time hakuna namna ya kuiba kura my friend, huyo siyo lowassa, na watanzania wote tuko upande wake, yani tafuteni kazi nyingine za kufanyaLisu kushinda ni ndoto za mchana labda ashinde na njaa.
October 28th kura zote ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA