TujikumbusheKuna wakati aliita press anapiga hesabu ya upotevu wa 1.5 Trillion.
Itapewa familia yake.Cha muhimu walete hela zilizopo canada
Lema anazileta tkesho kutwaCha muhimu walete hela zilizopo canada
Jamaa anapiga mizinga sana ukipiga namba hiyo, utasikia aisee kama una hamsini nicheki banaToka mwaka 2023 uanze hatujasikia lolote toka kwa Mkuu wa shule ya Uongozi.
Hivyo basi, wadau tukiwa bado tunasubiri nondo za shule ya uongozi toka kwa Mheshimiwa Balozi H. Polepole. Ni Bora tuone taarifa mpya kuhusu wanaosafiri kuelekea Malawi, alipo Mkuu wetu wa shule.
View attachment 2526640
Mpumbavu ni wewe,ambaye hujui na hujijui kama hujui,kuwa mfuasi wa mwenda zake kuna shida gn?Huyo ni chawa wa mwendazake.
Ni mmoja wa watu wenye akiki ndogo sana.
Kuna wakati aliita press anapiga hesabu ya upotevu wa 1.5 Trillion.
Upumbavu ni kipaji, amejaaliwa haswa.
Kwasababu hunijui uko huru kusema chochote, ila nina akili na elimu kuliko wewe na machawa wenzako wa mwendazake combinedMpumbavu ni wewe,ambaye hujui na hujijui kama hujui,kuwa mfuasi wa mwenda zake kuna shida gn?