Dr Mabuga M
Senior Member
- Nov 4, 2017
- 148
- 125
Ukifuatilia vizuri Warusi siyo watu wazuri hasa ukienda kule ukaendekeza suala la wanawake, ulevi n.k wanakufanya mbaya , Mfano walichokua wanakifanya warusi Kwa wageni hasa waafrika ilikuwa ni kutia makemiko kwenye chakula ili kuwaasi na hii wa kiasi kikubwa walijiona kiburudisho chao kikubwa ni pombe wengi waliathirika sana kiakili. Na Mara nyingi warusi huwa hawataki mbegu zetu waafrika.