Watanzania wanapenda sana kujadili mambo kwa mlengo wa dini

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Kuna mtu alituma andiko kua mafanikio ya taifa stars ni kua waislamu wamepewa nafasi. Hilo ni andiko la ajabu sana na huyu mtu ningekua na mlaka ningempa onyo kali sana kwa kuleta fitna.

Kwenye sakata la wake wa Ndugai wapo wanaosema ndoa ya kwanza ya kanisa ndio inayotambulika kwakua hawa wengi ni wakristo, kuna wale wanaomtetea bi Fatma wakiamini kua ni muislam, japo hawasemi waziwazi ila unaeeza elewa mlengo wao,

Hi ni hatari kama taifa, tufocus kwenye haki za binaramu na sheria.
Binafsi napenda sana kuzingatia
 
sio mlengo kiswahili sanifu ni mrengo
 
Achante kumbe muda mwingine unakuaga na akili kama wanaume
 

Attachments

  • downloadfile-14.jpg
    70 KB · Views: 32
wadau wamegoma kumuelewa mrembo hata akija kivingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…