Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World kwasababu kauli zao hazina staha, hazifuati taratibu za kisheria katika uwasilishwaji wake hivyo ni sawa na kelele na usumbufu kwa wanchi hivyo basi hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote wenye nia ya kuikashifu Serikali.
Baadhi ya Watanzania wamekuwa watu wa kuzungumza kwa lengo la kupotosha uma na sii kujenga, hivyo kupelekea kauli hizo za kupinga mkataba kuonekana kama kelele.
Aidha wale wote wanopinga mkataba huu hawazungumzi kwa staha, wana lengo la kuikashifu na kuichonganisha Serikali na Wananchi wake na kupelekea kauli hizo kuoneka kama matusi mbele ya Serikali.
Hakukuwa na haja ya kuzungumza maneno mengi sawa na vichaa badala yake wataalamu wa sheria walipaswa kuonana na Serikali ili kupeleka mapendekezo yao.
Swala la kuzungumza kama wehu katika mitandao ya kijamii na kwa wananchi moja kwa moja pasipo kufuata taratibu za kisheria ni swala la kupuuzwa kwasababu Serikali ina ofisi hivyo basi maswala yote yanayohusiana na Serikali yanatakiwa kufuata taratibu za kisheria na sii vinginevyo.