Watanzania wanataka Katiba Mpya!

Watanzania wanataka Katiba Mpya!

Watanzania wengi mambo ya katiba mpya siyo priorities. Cha msingi hihi iliyopo tuifanyie amendment kwenye madaraka ya Rais hasa kwenye kuteua..Rais anateua watu wengi sana. Kingne tufanye amendment kwenye Tume ya uchaguzi hasa kwenye sheria ya Tume na uteuzi wake..
Kwa manufaa ya nani? UKAWA? Wababaishaji hao? Hatutaki majaribio ya Utawala wa watu wasio na uzoefu !!
 
Back
Top Bottom