Watanzania wanathamini wafu kuliko walio hai

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Mtanzania yuleyule anayeandika kwenye barua, kwenye mtandao wa kijamii au anayezungumza kutoa pole na kuomba dua anaposikia msiba ndiye huyohuyo anayekuona upo kwenye hatari ya kifo asiseme kitu.

Hakuna Mtanzania kiongozi wa kitaifa aliyesimama nakusema kuwaweka mahabusu watu bila sababu za msingi nikuwaweka kwenye tishio la maambukizi ya corona. Hakuna kiongozi wa kisiasa aliyewauliza polisi kwamba taarifa za kushindwa kupumua za Heche huko Mwanza ni za kweli? Kama si za kweli akanushe adharani. Lakini kiumbe huyohuyo akitutoka leo utashangaa barua za maombolezo na uwakilishi wa vyama wakikimbilia msibani bila kujua wao ndio chanzo au walikuwa na nafasi yakuokoa uwahi wake.

Leo hii kwa bahati mbaya Mbowe akiugua UVIKO na akatutoka utashangaa watu wale wale waliomweka mahabusu bila sababu kwa siku zaidi ya nne kinyume cha sheria wakitoa salamu za pole. Watu hao hao wataunda tume na kuwasimamisha kazi Askari wa juu na chini kupisha uchunguzi hata Kama awatamaanisha.

Watu hao hao watatokea kwenye msiba kutoa sifa nzuri za Marehemu. Huu ni unyama, ni roho za kikatili tunazijenga kwa Taifa letu.

Bora usitoe pole kuliko kutoa pole kwa kifo ulichokuwa unaweza kukidhuia.

Huko Mwanza wizara ilikaa kimya kuhusu mitungi ya gesi, watu wakafa na habari zikaenea mitandaoni mara tunaona mitungi Tena na camera juu pamoja na pongezi. So tulisubiri watu wakose oxygen wafe ndipo tuchukue mitungi tupeleke?

Kilimanjaro tumesikia Hali ilivyo kwa Sasa, wizara ile ile iliyoelezwa tatizo la Mwanza haina uwezo wakutatua tatizo sehemu nyingine Hadi watu wafe? Waziri wa afya kazi yako Nini? Waziri wa Mambo ya Ndani unafanya Nini? Kwanini mnaona rahisi Sana kushuhudia watu wanapoteza uhai mikononi mwenu? Kwanini msisimae nakutekeleza wajibu?
 
Mtu mweusi ni Kima aliechangamka.
Leo ndio nimeamini maneno ya Kanye West, kuwa utumwani kwa zaidi ya miaka 400 ilikuwa ni kujitakia. Hongera mtumwa uonaye wazungu kama ndio Mungu hivi na hawakosei.
 
Wazungu kukosea haimfanyi mtu mweusi kutokuwa Kima aliechangamka.Hapo ulipo umevaa chupi ambayo huna hata uwezo wa kuitengeneza na imetengenezwa na wazungu halafu unataka kubisha kuwa mtu mweusi siyo kima aliechangamka!WTF!!!
 
Mtanzania yuleyule anayeandika kwenye barua, kwenye mtandao wa kijamii au anayezungumza kutoa pole na kuomba dua anaposikia msiba ndiye huyohuyo anayekuona upo kwenye hatari ya kifo asiseme kitu.

Hakuna Mtanzania kiongozi wa kitaifa aliyesimama nakusema kuwaweka mahabusu watu bila sababu za msingi nikuwaweka kwenye tishio la maambukizi ya corona. Hakuna kiongozi wa kisiasa aliyewauliza polisi kwamba taarifa za kushindwa kupumua za Heche huko Mwanza ni za kweli? Kama si za kweli akanushe adharani. Lakini kiumbe huyohuyo akitutoka leo utashangaa barua za maombolezo na uwakilishi wa vyama wakikimbilia msibani bila kujua wao ndio chanzo au walikuwa na nafasi yakuokoa uwahi wake.

Leo hii kwa bahati mbaya Mbowe akiugua UVIKO na akatutoka utashangaa watu wale wale waliomweka mahabusu bila sababu kwa siku zaidi ya nne kinyume cha sheria wakitoa salamu za pole. Watu hao hao wataunda tume na kuwasimamisha kazi Askari wa juu na chini kupisha uchunguzi hata Kama awatamaanisha.

Watu hao hao watatokea kwenye msiba kutoa sifa nzuri za Marehemu. Huu ni unyama, ni roho za kikatili tunazijenga kwa Taifa letu.

Bora usitoe pole kuliko kutoa pole kwa kifo ulichokuwa unaweza kukidhuia.

Huko Mwanza wizara ilikaa kimya kuhusu mitungi ya gesi, watu wakafa na habari zikaenea mitandaoni mara tunaona mitungi Tena na camera juu pamoja na pongezi. So tulisubiri watu wakose oxygen wafe ndipo tuchukue mitungi tupeleke?

Kilimanjaro tumesikia Hali ilivyo kwa Sasa, wizara ile ile iliyoelezwa tatizo la Mwanza haina uwezo wakutatua tatizo sehemu nyingine Hadi watu wafe? Waziri wa afya kazi yako Nini? Waziri wa Mambo ya Ndani unafanya Nini? Kwanini mnaona rahisi Sana kushuhudia watu wanapoteza uhai mikononi mwenu? Kwanini msisimae nakutekeleza wajibu?
Chadema huwa hawafi kwa corona bali ccm
 
Watachanga ukifa ila hawajali ukiumwa, na makamera ya video na sare sare msibani.
 
Asil
Wazungu kukosea haimfanyi mtu mweusi kutokuwa Kima aliechangamka.Hapo ulipo umevaa chupi ambayo huna hata uwezo wa kuitengeneza na imetengenezwa na wazungu halafu unataka kubisha kuwa mtu mweusi siyo kima aliechangamka!WTF!!!
Asilimia zaidi ya 90 ya vitu tunatumia Africa mpaka condom iliyompasukia mam ako siku unatungwa mimba ni kutoka China (Asia-Japan, India, korea n.k), hao wazungu wako watakuwa walikuingilia kinyume na maumbile, sio bure. Hiyo mitumba yenyewe kutoka USA na Europe are mostly made in China.

Hivi kwani Boss/ tajiri ni nani ? Anayetengeneza chupi au anayetengenezewa chupi.
 
wenye udhubutu wa kusema ndio hao kila siku mlikuwa mkisema wanatumiwa na mabeberu kuwatisha watanzania maana mko kwenye vita ya kiuchumi. Mmefikia hadi kuwafungulia kesi za ugaidi kisa tu wana udhubutu wa kuhoji
 
Asil

Asilimia zaidi ya 90 ya vitu tunatumia Africa mpaka condom iliyompasukia mam ako siku unatungwa mimba ni kutoka China (Asia-Japan, India, korea n.k), hao wazungu wako watakuwa walikuingilia kinyume na maumbile, sio bure. Hiyo mitumba yenyewe kutoka USA na Europe are mostly made in China.

Hivi kwani Boss/ tajiri ni nani ? Anayetengeneza chupi au anayetengenezewa chupi.
🖕🖕🖕
 
Mbona hamsomeki!? Mlikuwa hamumtaki JPM mkasema Mama Safi! Sasa ghafla na Mama tena mmeshamchoka!? Sasa mnataka mpewee nini!?
Ndani ya muda mfupi mara tozo kwenye miamala ya simu, mara hataki katiba mpya, mara kamkamata Mbowe na kumsingizia makubwa,...anaboa kweli afadhali nanihii....
 
Ila alivyomkamata Sabaya ndiyo alikuwa anafanya Vizuri,au siyo!?
 
Wazungu kukosea haimfanyi mtu mweusi kutokuwa Kima aliechangamka.Hapo ulipo umevaa chupi ambayo huna hata uwezo wa kuitengeneza na imetengenezwa na wazungu halafu unataka kubisha kuwa mtu mweusi siyo kima aliechangamka!WTF!!!
Self inflicted hatred! Unajinyanyapaa! Unatamani uwe mbwa wa mzungu angalau eh?
 
Kuongea fact ni kujinyanyapaa?Kama kuna ukweli mchungu juu ya sisi watu weusi nisiseme kisa mimi ni mweusi?Yaani niwe mnafiki kisa huo ukweli mchungu unanihusu mimi mtu mweusi?Hii inamake sense?!

Watu weupe wanarun hii dunia na huo ni ukweli wakati mtu mweusi yupoyupo tu anashangaa.Kila kitu cha maana kwenye hii dunia kimekuwa invented na kuwa innovated na watu weupe kuanzia chanjo za magonjwa yanayotisha sana,madawa,technolojia za radio,tv,simu,nguo,magari,technolojia za anga za mbali,meli,treni na kadhalika.

Mchango wa ngozi nyeusi katika hii dunia ni upi?Kama mtu mweusi yupoyupo tu tusiseme ukweli?WTF!!Akili za wapi hizi?!
 
Back
Top Bottom