sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Endapo kuna kitu kimezinduliwa tz mara nyingi huenda social networks za wakenya na kuanza kudiscusa kilichoInduliwa ili kuoata attention kwa wakenya watoe feesback
Endapo kuna baya limetokea kenya basi watanznia with a lighting speed huenda kwene majukwaa ya wakenya kwenda kuwaambia hali ipo shwari Tz wao hawana tatizo lililopo kenya.
Mifano ni mingi sana kufikia hata kuanzisha mijadala ya kulinganisha airports mfano mwanza airport vs kisumu airport, majiji kama mwanza vs mombasa, n.k
Ila hata hivyo kwa uchunguzi yakinifu niliofanya bado unakuta mwitikio wa wakenya kuanza kujadili hizi maada ni mdogo sana, unakuta mjadala kuna watz 50 waliochangia lakini ni wakenya watano tu.
Anyway nilikuwa najiuliza hapa, Wakenya hutumia benchmark ipo kwenye maendeleo yao.