Watanzania wanawatumia wakenya kama kilinganishio (benchmark) cha maendeleo

Watanzania wanawatumia wakenya kama kilinganishio (benchmark) cha maendeleo

Mbona unaumwa hivi na Kenya Kama sio Wivu?

Cheki hii uone jinsi mnavyotuwaza Kila siku! Ukiwachwa achika Mkuu
wenye nacho huwa hawajisifii, ukiona mtu anajisifu kabla yakusifiwa ujue hana kitu anajifariji tu.
 
Kwenye thread hii tu wakenya mshazidi mnashambulia Tz utasemaje eti kwenye wakenya 5 Kuna watz 50😂😂😂 mnajikata na kujipuliza😂😂
 
wenye nacho huwa hawajisifii, ukiona mtu anajisifu kabla yakusifiwa ujue hana kitu anajifariji tu.
Mnatusifu Mkuu cheki hapa
2484593_most.jpg
 
Back
Top Bottom