Y yuzazifu JF-Expert Member Joined Oct 6, 2018 Posts 5,108 Reaction score 9,436 Aug 31, 2020 #41 mwaswast said: Mbona unaumwa hivi na Kenya Kama sio Wivu? Cheki hii uone jinsi mnavyotuwaza Kila siku! Ukiwachwa achika Mkuu Click to expand... wenye nacho huwa hawajisifii, ukiona mtu anajisifu kabla yakusifiwa ujue hana kitu anajifariji tu.
mwaswast said: Mbona unaumwa hivi na Kenya Kama sio Wivu? Cheki hii uone jinsi mnavyotuwaza Kila siku! Ukiwachwa achika Mkuu Click to expand... wenye nacho huwa hawajisifii, ukiona mtu anajisifu kabla yakusifiwa ujue hana kitu anajifariji tu.
Stevenbee JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 365 Reaction score 449 Aug 31, 2020 #42 Kwenye thread hii tu wakenya mshazidi mnashambulia Tz utasemaje eti kwenye wakenya 5 Kuna watz 50😂😂😂 mnajikata na kujipuliza😂😂
Kwenye thread hii tu wakenya mshazidi mnashambulia Tz utasemaje eti kwenye wakenya 5 Kuna watz 50😂😂😂 mnajikata na kujipuliza😂😂
mwaswast JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 12,780 Reaction score 6,480 Aug 31, 2020 #43 yuzazifu said: wenye nacho huwa hawajisifii, ukiona mtu anajisifu kabla yakusifiwa ujue hana kitu anajifariji tu. Click to expand... Mnatusifu Mkuu cheki hapa
yuzazifu said: wenye nacho huwa hawajisifii, ukiona mtu anajisifu kabla yakusifiwa ujue hana kitu anajifariji tu. Click to expand... Mnatusifu Mkuu cheki hapa