Watanzania waonywa dhidi ya tabia ya uwindaji na ulaji wa panya

Sasa mmeiga ulaji wao wa mbwa afu mambo ya teknolojia mkayatupilia kulee! Si nilidhani watz huwa mnakuza vyakula vya kujitosheleza. Hivi niulize, ukimaliza shughuli yenyewe huwa unatumia vichokonoa meno kutoa manyoya ya panya kwenye meno? Acha hizo bana, ni lunch time! 🙂
Hakuna mnyama ambaye amekatazwa kuliwa, kama wewe au tamaduni zenu haziruhusu, sio wote hawaruhusu, waislamu hawali nguruwe, au watu kutoka bara hawawezi kula pweza, Turkana wanakula Punda, Zambia wanakula Caterpillars lakini hawawezi kula Prawns, hiyo ndiyo dunia. Mtu yeyote anayeshangaa mtu au taifa lingine kwa kula chakula chao cha asili inaonyesha jinsi ambavyo yupo very uncivilized.
 
Wewe ambaye unakula panya wakati umeshaonywa na serikali yako usile ndo upo very uncivilized! Sijasema mimi. Acha longolongo wewe, fuata sheria bila shuruti au upimwe mkojo! 🙂
 
Wamekataza kuchoma misuti, hakuna serikali duniani itakata watu kula chakula chao, labda kama kuna ugonjwa, au hao wanyama wapo katika hatari ya kutoweka, wewe na mtoa mada wote akili zenu zinafanana na Alshaabab[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hehehe! Jamaa wanapenda sana huo msosi haswa kipindi kama hiki vyuma vimekaza, siku hizi kila Mtanzania anapambana na hali yake maana pamekua pagumu pale.
Kweli, yaani grisi imekuwa mbwa na mashavu ya panya. Dah, Magufuli kiboko yao!
 
Wamekataza kuchoma misuti, hakuna serikali duniani itakata watu kula chakula chao, labda kama kuna ugonjwa, au hao wanyama wapo katika hatari ya kutoweka, wewe na mtoa mada wote akili zenu zinafanana na Alshaabab[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wewe jamaa unapenda nyama ya panya kupindukia. Yaani lazima ule panya, liwe liwalo! Sawasawa jombaa. Ila ushaonywa.
 
Siku ukionja nyama ya Panya, hutokula tena hao Punda, nyama ya panya ni laini sana, na mifupa yake ni laini unatafuna yote, ila mnapata taabu sana kutafuna nyama ya punda, ninahisi ni ngumu sana kwasababu ya kazi ngumu anazofanya, au nimekosea![emoji38]
 
Acha punda, mila za kwetu hazitukubali tule wanyama wowote wa porini. Eti nyama ya panya ni laini! Acha yaishie hapo!
 
Kweli, yaani grisi imekuwa m#p*mb* ya mbwa na mashavu ya panya. Dah, Yohana kiboko yao!

Hawa mambo yakibana hula vitu vya kiajabu ajabu hata viwavi, kwanza Dodoma kabisa kwenye mji wao mkuu. Sema media zao huwa zipo kwenye usingizi ndio maana hawatajwi. Imagine kwamba wanakula hadi albino lakini hawasemwi.
 
Kwani Punda ni mnyama wa porini?
Sasa we fikiria kama wanyama wa porini ni marufuku, nyama zingine za ajabu ajabu kama punda, panya na mbwa watakuwa kwenye menu kweli? Ndugu zangu waliposikia nimekula kitimoto ilikuwa ni huzuni sana kwao. Wala si yale ya dini. Ukila kitimoto, wanakuuliza, ni nini ambacho huwa hauli wewe!? 😀 Tamaduni ni tamaduni!
 
Mbona unakula mbuzi na ng'ombe?, kumbuka kwamba ng'ombe ni Mungu wa Hindus, yaani kumchinja ng'ombe ni sawa na kumchinja Jesus, adhabu yake ni kifo.
 
Yaani we jamaa kumbe huwa unakula nyama ya panya na mbwa? Achana nao bana. Zime'affect' sana uwezo wako wa kutumia ubongo wako ifaavyo. Nenda katubu bana! Yote yaliisha msalabani. 😀😀😀
Ulaji wa nyamaa ya panya especially panya buku ni tradition huku kwetu hata mi nikirudi bush kwetu naandaliwa saafiiii nafinyaa... Mbwa analiwa na wahehe toka enzi na enzi afu mbona wachina wanakula mbwa hamuwashangai au ndio mnaleta ligi ya kiboyaaa??
 
Nilitabiri kwamba wala panya leo lazima mtaandamana. Naona mmecatch mafeelings sana kwenye uzi huu. Relax Jombaa, tutafungua uzi wa panya buku pia. Wewe unaniambia kuhusu wachina wakati nyinyi waafrika wenzetu mnachoma misitu ndo mle panya. Kwani panya hao ni watamu kiasi gani? 😀
 
mkuu,hii niiele ya kuwakamatia chini kwa chini,hapa hawaruki jamaa za chuki ,kumbe nchi ya viwonder ina haya mambo😱
 
Mila na desturi za njaa! Wewe fikiria familia moja inakula zaidi ya panya saba kwa mpigo, si paka wote watakufa kwasababu ya njaa? 😀
 
Back
Top Bottom