joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hakuna mnyama ambaye amekatazwa kuliwa, kama wewe au tamaduni zenu haziruhusu, sio wote hawaruhusu, waislamu hawali nguruwe, au watu kutoka bara hawawezi kula pweza, Turkana wanakula Punda, Zambia wanakula Caterpillars lakini hawawezi kula Prawns, hiyo ndiyo dunia. Mtu yeyote anayeshangaa mtu au taifa lingine kwa kula chakula chao cha asili inaonyesha jinsi ambavyo yupo very uncivilized.Sasa mmeiga ulaji wao wa mbwa afu mambo ya teknolojia mkayatupilia kulee! Si nilidhani watz huwa mnakuza vyakula vya kujitosheleza. Hivi niulize, ukimaliza shughuli yenyewe huwa unatumia vichokonoa meno kutoa manyoya ya panya kwenye meno? Acha hizo bana, ni lunch time! 🙂