Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Habari hii iwafikie CCM na mapandikizi yao yote kuanzia G55, Covid 19, Wale waliofungua kesi Wazanzibar, ACT Wazalendo na Madalali wote wa kisiasa.
Leo hii Television maarufu ya EATV imewauliza swali Watanzania kwenye page yake ya Facebook juu ya Chama gani cha siasa Wanakikubali.
Post yenyewe hii hapa👇
Katika maoni yaliyotolewa na Watanzania mbalimbali kutoka dini mbalimbali wenye rika tofauti na jinsia tofauti, takribani asilimia 98 ya Watanzania wamesema wazi bila kupepesa macho kuwa Chadema ndo Chama cha Siasa Wanachokikubali zaidi.
Post hii ni ujumbe mzito sana kwenda kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama kuwa Chadema ndo Chama kinachokubalika zaidi kwa Watanzania.
Post hii iwasilishe ujumbe kuwa huitaji kuwa na Wabunge wengi ili uwe Chama kinachokubalika kwa Watanzania bali kutetea haki na misingi ya utawala Bora.
Post hii ni ushindi
Mkubwa kwa Watu wanaotetea Mageuzi ya kweli nchini Tanzania na ni ujumbe kuwa Watanzania wameona kuwa chama pekee kinachowatetea kweli kwa maendeleo yao ya kweli ni Chadema.
Angalieni wenyewe hapa maoni ya Watanzania 👇
[ATTACH type="full" alt="S