uko sahihi gentleman,
chama cha vibaka waropokaji na matapeli wa kisiasa nchini, kinakubalika mno Facebook, ila field kwa wananchi wapiga kura wagombea uongozi wake huwa wanaonekana kama washirikina wapiga ramli tu, sijui kwanini aise huwa hawapati kura kabisa na matokeo yake wanadai kuibiwa kura kumbe hawakupigiwa hata na wakala wao 🐒
b
Gentleman,View attachment 3308785View attachment 3308786
Nakwambia tena ccm endapo inaweza kushinda bila ya hizo drama nitakupatia kiasi cha zaid ya 5M.
View attachment 3308785View attachment 3308786uko sahihi gentleman,
chama cha vibaka waropokaji na matapeli wa kisiasa nchini, kinakubalika mno Facebook, ila field kwa wananchi wapiga kura wagombea uongozi wake huwa wanaonekana kama washirikina wapiga ramli tu, sijui kwanini aise huwa hawapati kura kabisa na matokeo yake wanadai kuibiwa kura kumbe hawakupigiwa hata na wakala wao 🐒
b
Kwahiyo ukiwa October ndio utashinda kwa haki?Gentleman,
uchaguzi ni October mwaka huu, hakuna haja ya kubabaika gentleman 🐒
Wawalete hao wa Facebook wapige kura.Chama kinategemea kushinda kwa kura za Facebook. Ni miujiza.Gentleman,
uchaguzi ni October mwaka huu, hakuna haja ya kubabaika gentleman 🐒
hao wote ni wao wenyewe,Wawalete hao wa Facebook wapige kura.Chama kinategemea kushinda kwa kura za Facebook. Ni miujiza.
Kujifariji kupi wakati ndo uhalisia? Au bado mna kiburi cha kupindua matokeo na kuiba kura?Endeleeni kujifariji...........
Ccm wanakataliwa mazima na WatanzaniaHii ni zaidi ya hatari kwa CCM.
Kwamba Facebook hakuna watanzania?. Hiyo sampling inatosha Sana Tu.Ujinga kweli mzigo.Chama kinakubalika kwa kura za Facebook?You can do better.Pamoja na ujinga wako siamini unaamini kwamba hao ndio majority ya watanzania. Unajua hata sampling za kura za maoni zinafanyika vipi?
Wacha kudhihirisha ujinga wako kuna wengine walidhani una hata za kuvukia barabara. Unatia shaka.
Hakuna atakayeiba kura hata Moja na mnapigwa dakika ya kwanza tu ya mchezo. Upinzani Bado saaana. Humu JF kunakuharibuni nyumbu.Kujifariji kupi wakati ndo uhalisia? Au bado mna kiburi cha kupindua matokeo na kuiba kura?