Watanzania wasema kwa sauti moja CHADEMA ndo Chama wanachokikubali Tanzania

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Habari hii iwafikie CCM na mapandikizi yao yote kuanzia G55, Covid 19, Wale waliofungua kesi Wazanzibar, ACT Wazalendo na Madalali wote wa kisiasa.

Leo hii Television maarufu ya EATV imewauliza swali Watanzania kwenye page yake ya Facebook juu ya Chama gani cha siasa Wanakikubali.

Post yenyewe hii hapa👇


Katika maoni yaliyotolewa na Watanzania mbalimbali kutoka dini mbalimbali wenye rika tofauti na jinsia tofauti, takribani asilimia 98 ya Watanzania wamesema wazi bila kupepesa macho kuwa Chadema ndo Chama cha Siasa Wanachokikubali zaidi.

Post hii ni ujumbe mzito sana kwenda kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama kuwa Chadema ndo Chama kinachokubalika zaidi kwa Watanzania.

Post hii iwasilishe ujumbe kuwa huitaji kuwa na Wabunge wengi ili uwe Chama kinachokubalika kwa Watanzania bali kutetea haki na misingi ya utawala Bora.

Post hii ni ushindi
Mkubwa kwa Watu wanaotetea Mageuzi ya kweli nchini Tanzania na ni ujumbe kuwa Watanzania wameona kuwa chama pekee kinachowatetea kweli kwa maendeleo yao ya kweli ni Chadema.

Angalieni wenyewe hapa maoni ya Watanzania 👇
[ATTACH type="full" alt="S
 

Attachments

  • Screenshot_20250418_194443_Facebook.jpg
    254.5 KB · Views: 24
  • Screenshot_20250418_194406_Facebook.jpg
    256.8 KB · Views: 31
  • Screenshot_20250418_195122_Facebook.jpg
    291.5 KB · Views: 36
  • Screenshot_20250418_194841_Facebook.jpg
    333.6 KB · Views: 25
uko sahihi gentleman,
chama cha vibaka waropokaji na matapeli wa kisiasa nchini, kinakubalika mno Facebook, ila field kwa wananchi wapiga kura wagombea uongozi wake huwa wanaonekana kama washirikina wapiga ramli tu, sijui kwanini aise huwa hawapati kura kabisa na matokeo yake wanadai kuibiwa kura kumbe hawakupigiwa hata na wakala wao 🐒 b
 
Ujinga kweli mzigo.Chama kinakubalika kwa kura za Facebook?You can do better.Pamoja na ujinga wako siamini unaamini kwamba hao ndio majority ya watanzania. Unajua hata sampling za kura za maoni zinafanyika vipi?
Wacha kudhihirisha ujinga wako kuna wengine walidhani una hata za kuvukia barabara. Unatia shaka.
 
Nimecheka sana maana kuna mmoja kasema "CHAMA CHA LISSU"

Hii ni kuthibitisha kuwa anamkubali Tundu Lissu na chama chake...

That's really beatiful...❤❤❤❤
 
na kwa fikra hizi ndiyo maana kijani wanashinda....hao baadhi ya watanzania wa facebook hawana tofauti na wale wa mange a.k.a keyboard warriors.
 
Reactions: Tui
Mjinga na mshamba kweli kweli wewe mzee wa 1945s...

Nyie huko CCM mnaamini watu wote wako kwenye "wizi ya kura" ili mjishindishe. Very stupid once more....

Yaani hata hujui kuwa, huko X - Twitter, Facebook, Instagram, JF, TikTok na social medias zote zingine ndiko waliko watu na ukienda field ndo utawakuta hawahawa watu...

Na hata hujui kuwa zaidi ya Watanzania 45,000,000 wanatumia simu rununu na wako kwenye mitandao mbalimbali na ukipata approval huko, automatic ndivyo ilivyo kwenye uhalisia...
 
Wewe nae unadhihirisha ujinga wako.Uiliona wapi credible kura ya maoni inapigwa kwenye Facebook au Twitter ?Kura za maoni zinahitaji utaalamu wewe zumbukuku. Eti milioni 45 wana simu halafu umeuliza wangapi na wa umri gani?wanaishi wapi?Sampling ilifanyikaje?
 
Wamtumainio Bwana ni Kama mlima sayuni hawatatikisika. Wakaa Milele.

Wananchi wamestukia
 
Haters......hizo kura zimejipiga?
 
na kwa fikra hizi ndiyo maana kijani wanashinda....hao baadhi ya watanzania wa facebook hawana na wale wa mange a.k.a keyboard warriors.
Mlisema Lissu ana kura za mitandaoni ila ikawaje kwenye matokeo?

Ccm mnapendaga sana kutoa kebehi za kijinga kuhalalisha wizi wenu wa kura.

Nani kakwambia vijijini hawapo Facebook?
 
Asante kwa Ushahidi mwanana
 
Nimecheka sana maana kuna mmoja kasema "CHAMA CHA LISSU"

Hii ni kuthibitisha kuwa anamkubali Tundu Lissu na chama chake...

That's really beatiful...❤❤❤❤
We unadhani kwa nini wamempa kesi ya Uhaini Lissu? Kukubalika kwake sio kwa kawaida
 
Kwani Jf wa CCM walivyo kwenye hii picha wanasemaje
 
Nami nasema CHADEMA
 
Kwani hao wa Facebook sio Watanzania?

Hizo propaganda zenu mfu eti wapiga kura hawapo Facebook mnazosema ili kuhalalisha wizi wenu wa kura hazina mantiki tena.

Watanzania waliopo Facebook ndo hawa hawa waliopo mitaani hawana tofauti yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…