Watanzania wasema kwa sauti moja CHADEMA ndo Chama wanachokikubali Tanzania


Nakwambia tena ccm endapo inaweza kushinda bila ya hizo drama nitakupatia kiasi cha zaid ya 5M.
 
View attachment 3308785View attachment 3308786
Nakwambia tena ccm endapo inaweza kushinda bila ya hizo drama nitakupatia kiasi cha zaid ya 5MkwHi
Gentleman,
uchaguzi ni October mwaka huu, hakuna haja ya kubabaika gentleman 🐒
Kwahiyo ukiwa October ndio utashinda kwa haki?
 
Reactions: Tui
Siku ile uchaguzi wa chadema unafanyika ccm pia walikuwa live stream kufatilia
 
Wawalete hao wa Facebook wapige kura.Chama kinategemea kushinda kwa kura za Facebook. Ni miujiza.
hao wote ni wao wenyewe,
eti wamekaa mahali wamefungua account nyiingi lii za Facebook halafu wanaanza kujiuliza na kujijibu wenyewe kisha wakichoka ndio wanahishia majibu yao humu JF,

ndezi sana hawa vijana wa chadema aise 🐒
 
Reactions: Tui
Kwamba Facebook hakuna watanzania?. Hiyo sampling inatosha Sana Tu.

Usipokubali kupokea mabadiliko jiandae kubadilishwa na mabadiliko!
 
Keyboard warriors andaeni kujiapisha muende ikulu
 
Reactions: Tui
Kujifariji kupi wakati ndo uhalisia? Au bado mna kiburi cha kupindua matokeo na kuiba kura?
Hakuna atakayeiba kura hata Moja na mnapigwa dakika ya kwanza tu ya mchezo. Upinzani Bado saaana. Humu JF kunakuharibuni nyumbu.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…