Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hana uzoefu huyu. Biashara na physical. Huwezi kuwapostia watu bidhaa kila siku, mwezi mzima mtu ananunua siku moja tuSijajua shida nini, sijui huwa wana mwapu wa kufanya biashara.
Ila wenye fremu kwetu ni raha tu, akishindwa huyu anakuja yule, na kama fremu zipo sehemu nzuri unapiga pesa vizuri tu.
Ni biashara ambayo unaweza funga msuli na ukacheza bao, mwisho wa mwezi unaokota tu.