Watanzania watatu wahukumia kifungo cha miaka 15 Kenya kwa tuhuma za ugaidi

Wakenya mtafunga na kuua wengi sana lakini mkumbuke na wao wakipata upenyo watawaua. Salama yenu ni kuondoka Somalia.

Mna zaidi ya asilimia ishirini ya Wakenya wenye asili ya Kisomali, hapo salama kabisa.

Vijana wadogo kama hao kwenye picha wasio na kazi wala majukumu ni rahisi sana kurubuniwa kwa dini yao. Wakijitazama wanaona hawana cha kupoteza. Nimeona clip ya hao wanaojiita Al shabab inayosambazwa WhatsApp nikashangaa sana kuona ni vijana wadogo na wanaongea Kiswahili cha kikenya, nikajiukiza, je, adui ya Kenya ni Mkenya? Jibu lake ni rahisi sana kwa mwenye kufikiri hapo kidogo.

Sasa naona picha ya Watanzania, najiuliza tena, adui wa Kenya ni Mtanzania?

Siku za nyuma tulisikia kuhusu mwanamke wa Kingereza akiwa ni Alshabab, je, Uingereza ni adui ya Kenya?
 
Labda atakuwepo ila kwa siri kubwa sio kama nyie mnaoshabikia bila kuficha wala wala aibu wala nini.
Mkuu sio wtz wote tunashabikia upumbavu huo,nadhani watakua ni wenzao/ndugu zao ambao nao wameshaambiwa watapewa mabikra 72 siku yao ikifika. Kuna mafundisho yanaudhi sana.

Bomba Mvua
 
wajir_tz.jpg

JUSTICE SERVED
Three Terror Suspects from Tanzania jailed DAILY NATION

The three, Mbarouk Ali Adibu, Idarous Abdirahman and Islahi Juma were arrested by security officers at Kutulo while planning to cross into Somalia.

The suspects appeared before Wajir Senior Resident Magistrate Amos Makoros on Wednesday, where their sentence was read.

The trio has been in remand at the Wajir Prison since October 19, 2018, when they pleaded not guilty and police had not completed the investigation.

According to Daily Nation, a source that sought anonymity stated more than 50 terror suspects had been hosted at the Wajir Prison.

“In the past two years, the government has been carrying out massive crackdowns on terror suspects and most of them have at one time passed through the Wajir prison. We are worried that such a group of suspects could even recruit more prisoners,” the source cited.

This comes a day after Four Garissa University terror attack suspects were arraigned at the Milimani Law Courts on Tuesday.

The four suspects were charged with a terrorist act, conspiracy to commit a terrorist act and being members of a terrorist group.

The ruling was made four years after heavily armed attackers stormed Garissa University killing 148 people and injuring others.

Kenya Imprisons 3 Tanzanians Over Alshaabab Links

These are fools who deserve nothing, kill them please. Tanzania hatuhitaji wapuuzi wa Kiislam wanaotaka kulichafua taifa letu kuua watu wasio na hatia. This is beyond stupidity, just kill them please.
 
Wakenya mtafunga na kuja wengi sana lakini mkumbane na wao wakipata upenyo watawaua. Salama yenu ni kuandoka Somalia.

Mna zaidi ya asilimia ishirini ya Wakenya wenye asilimia ya Kisomali, hapo salama kabisa.

Hawa Wakenya 20% wenye asili ya Kisomali wangekua na roho nyeusi kama yako hatungekua salama, ila wamefaulu kudhihirisha si waislamu wote magaidi, binafsi hapo awali nilikua nikiona kila muislamu kama gaidi, lakini kwa jinsi hawa wameonyesha ushirikiano mkubwa sana kwenye kupambana na hao ndugu zako, mtazamo wangu ulibadilika sana, ndani ya hiyo dini yenu kunao binadamu ambao hawaamini kwenye huu ushetani.
 
Umeiona clip? Hao kwenye clip si Wakenya Wasomali?

Halafu mengine hujajibu.
 
Wakenya wenye asili ya Kisomali idadi yao ni zaidi ya 800,000 yaani hao wote wangekua kama wewe tungeisha jameni, kwenye jamii hapakosi roho nyeusi wachache, hivyo hatuwezi kuwahukumu wote 800,000 kisa wachache ndani yao wameamua kujilipua.
Hata Watanzania, kunao tuliowakamata wakifanya ugaidi, kuna hata Mpare ambaye anasubiri hukumu, hata hivyo hatuwezi kuwatuhumu Watanzania wote kwa ajili ya nyie wachache.
 
Umenena vyema kabisa. Na Wakenya wote siyo kama wewe wanapanda kuvamia nchi za watu na kuuwa na kubaka watoto zao. Ndiyo maana unaona wengi wa hao Al shabab ni Wakenya. Au hilo hulioni?
 
Wakenya wanaovamia na kubaka wauawe, hilo halina pingamizi, na pia gaidi hana utaifa, kunao maelfu ya watanzania na wakenya ambao wanafanya ugaidi, kwa kifupi kila mnayemlisha itikadi za kidini na kuanza kujilipua, hapo utaifa unamtoka, yupo radhi kumuua hata mamake.
Hawa Wakenya 800,000 wenye asili ya Kisomali mngekua mumefaulu kuwalisha hizo itikadi zenu hakungekalika huku, lakini wengi ni wazalendo na wameweka utaifa mbele na kuwa tayari kutetea nchi dhidi ya hayo mashetani mnayoyazaa kila siku.
 
Gaidi kwa mmoja ni mpigania uhuru kwa mwengine.

Wakenya kuwa ndani ya Somalia hao unaowaita wewe magaidi, wao wanawaona nyinyi magaidi wakubwa zaidi. Usisahau hilo na ili usiwape sababu si uondoke tu kwao! Kuna nini huko Somalia kinachowaweka? Au ndiyo hamuwezi kukiuka amri ya mabwana zenu wanaowadhili muwe Somalia?
 
Hao mabwana zako kama sio magaidi wasingekua wanawakuta watu kwenye starehe zao na kuwaua wakichagua nani muislamu na nani asiye muislamu, au kuteka bus na kuchagua mauaji kwa misingi ya kidini, ningewaona wapigania uhuru kama wangepambana na wanajeshi moja kwa moja.
Mnaendelea kupanua miguu wanawamwagia shahawa ili muendelee kuzaa hayo mashetani japo yanaishia kupigwa shaba.
 
Hivi mnavyokwenda na majeshi na madege ya kivita kule Somalia huwa hamuwakuti Wasomali kwenye starehe zao? Sasa kinakushangaza nini wao wakirudishia?

Ukitaka uwe na amani ondoka kwao.

Hujajibu kwanini Watanzania, Wakenya, Wasomali, Waingereza wote wawe wanaichukia kenya? Au kuna tusichokijuwa? Hii umeiona?

Kenyan investigators have identified one of the extremists involved in the attack on a hotel and shopping complex in Nairobi as the son of a Kenyan military officer. There were conflicting reports on Friday about whether the extremist was among the five attackers who died in the assault, or one of 11 people who have been detained by police since the Tuesday attack.

Nairobi attack: Al-Shabab cell, including army officer's son, cased Kenya hotel for years
 
Hivi mnavyokwenda na majeshi madege kule Somalia huwa hamuwakuti Wasomali kwenye starehe zao? Sasa kinakushangaza nini wao wakirudishia?

Ukitaka uwe na amani ondoka kwao.

Hujajibu kwanini Watanzania, Wakenya, Wasomali, Waingereza wote wawe wanaichukia kenya? Au kuna tusichokijuwa?
Mungu wangu! Ni wazi kwamba nyinyi mazombie mnakuwaga mambumbumbu wakutupwa.
 
Hivi mnavyokwenda na majeshi na madege ya kivita kule Somalia huwa hamuwakuti Wasomali kwenye starehe zao? Sasa kinakushangaza nini wao wakirudishia?

Ukitaka uwe na amani ondoka kwao.

Hujajibu kwanini Watanzania, Wakenya, Wasomali, Waingereza wote wawe wanaichukia kenya? Au kuna tusichokijuwa? Hii umeiona?

Kenyan investigators have identified one of the extremists involved in the attack on a hotel and shopping complex in Nairobi as the son of a Kenyan military officer. There were conflicting reports on Friday about whether the extremist was among the five attackers who died in the assault, or one of 11 people who have been detained by police since the Tuesday attack.

Nairobi attack: Al-Shabab cell, including army officer's son, cased Kenya hotel for years

Hakuna anayeichukia Kenya ila hayo mavitu mnayoyazaa mkipanua hiyo miguu yenu na kuyalisha chuki za kidini, kule Msumbiji mumeyatuma yamekamatwa 50, so utasema Msumbiji jeshi lao liko Somalia???? Yalipokua yanachinja watu Kibiti, je Tanzania jeshi liko Somalia??? Jihadist insurgency: Mozambique to put 180 Islamist suspects on trial
 
Wewe ndiye zombie mkuu usiyeona wala kusikia, soma hii: Nairobi attack: Al-Shabab cell, including army officer's son, cased Kenya hotel for years

Wakenya wanauana wenyewe kwa wenyewe kisha wanasingizia wengine.
Wewe komalia hapo Manzese ukitizama video za wendazao Aboud Rogo na Makaburi. Wasomalia wasio na hatia wapo Daadab Refugee Camp, Kenya kama wakimbizi. Wengine wao wamekaa Kenya kwa miaka zaidi ya 20 hawana hamu ya kurudi kwao Somalia kula bata. Kwenye shambulizi la Dusit mazombie wenzako waliwaua waislamu 6, tena baadhi yao wasomali wenzao. Sehemu ambazo AMISOM imefanikiwa kuzikomboa kutoka kwa mataahira wenzako wasomali wameweza kuishi kwa amani kwa mara ya kwanza kwa miaka zaidi ya 15! Tena KDF ndio inawapa vyakula na kutibu wangonjwa. Sasa wewe hapo kazi kuropoka tu, kinachokuzuia kusafiri hadi Somalia ni nini?
 
Hakuna anayeichukia Kenya ila hayo mavitu mnayoyazaa mkipanua hiyo miguu yenu na kuyalisha chuki za kidini, kule Msumbiji mumeyatuma yamekamatwa 50, so utasema Msumbiji jeshi lao liko Somalia???? Yalipokua yanachinja watu Kibiti, je Tanzania jeshi liko Somalia??? Jihadist insurgency: Mozambique to put 180 Islamist suspects on trial

Ya Kenya yamekushinda unahamia ya Msumbiji?

Hili hujaliona? Nairobi attack: Al-Shabab cell, including army officer's son, cased Kenya hotel for years
 
Wewe komalia hapo Manzese ukitizama video za wendazao Aboud Rogo na Makaburi. Wasomalia wasio na hatia wapo Daadab Refugee Camp, Kenya kama wakimbizi. Wengine wao wamekaa Kenya kwa miaka zaidi ya 20 hawana hamu ya kurudi kwao Somalia kula bata. Kwenye shambulizi la Dusit mazombie wenzako waliwaua waislamu 6, tena baadhi yao wasomali wenzao. Sehemu ambazo AMISOM imefanikiwa kuzikomboa kutoka kwa mataahira wenzako wasomali wameweza kuishi kwa amani kwa mara ya kwanza kwa miaka zaidi ya 15! Tena KDF ndio inawapa vyakula na kutibu wangonjwa. Sasa wewe hapo kazi kuropoka tu, kinachokuzuia kusafiri hadi Somalia ni nini?
Ohhoo, Tuambie huyu nae ni Msomali: Nairobi attack: Al-Shabab cell, including army officer's son, cased Kenya hotel for years
 
Back
Top Bottom