FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wakenya mtafunga na kuua wengi sana lakini mkumbuke na wao wakipata upenyo watawaua. Salama yenu ni kuondoka Somalia.
Mna zaidi ya asilimia ishirini ya Wakenya wenye asili ya Kisomali, hapo salama kabisa.
Vijana wadogo kama hao kwenye picha wasio na kazi wala majukumu ni rahisi sana kurubuniwa kwa dini yao. Wakijitazama wanaona hawana cha kupoteza. Nimeona clip ya hao wanaojiita Al shabab inayosambazwa WhatsApp nikashangaa sana kuona ni vijana wadogo na wanaongea Kiswahili cha kikenya, nikajiukiza, je, adui ya Kenya ni Mkenya? Jibu lake ni rahisi sana kwa mwenye kufikiri hapo kidogo.
Sasa naona picha ya Watanzania, najiuliza tena, adui wa Kenya ni Mtanzania?
Siku za nyuma tulisikia kuhusu mwanamke wa Kingereza akiwa ni Alshabab, je, Uingereza ni adui ya Kenya?