Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

Na huwa njiuliza sana hawa mabinti wanapata wapi milion 13 ya kumlipia mtu kama faini kirahisi rahisi tu. Ok naanza kupata majibu ya maswal niliokuwa nikijiuliza.

Sio mchezo aisee yaani huoni mtu akijishughulisha lakini mwisho wa siku fujo zake ni balaa... Ku mwaga milioni kadhaa kwenye kumbi za starehe ni kawaida kabisa....
 
Na huu unga sikuizi naona.unawahusu wadada zaidi kuliko wakaka na wababa. Short cut.................
 
I, See....Maswali mengi kupita majibu!! Yani kila jibu litaibua maswali mengi zaidi
 
Tatizo ni kubwa sana,Dada zangu hebu jitambueni,tamaa haitawasadia chochote,hao waliowaagiza mzigo wala hawatawasaidia chochote mtakufa peke yenu,
 
Mhhh!kilo 150 zinakaa kwenye rectum ya mtu au begi?mh hawa mabinti wana mapango!
 
Na huwa njiuliza sana hawa mabinti wanapata wapi milion 13 ya kumlipia mtu kama faini kirahisi rahisi tu. Ok naanza kupata majibu ya maswal niliokuwa nikijiuliza.
kweli mkuu hata mimi nawazaga sana ukiunganisha biashara zetu hizi na misele ya mtu no advertisement ya biashara yake , nachoka kabisa
 
Swali la kuhoji, Walipita nazo vp hapo Julius Nyerere I. A!? Hii Chain ni ndeefu sana.
 
we unamjua vizuri agnes masogange? Haujui kwamba anaishi s.africa? Haujui kwa alikua anakaa tanzania dsm sinza? Coincidence zote hzo hauamini? Karaga bao thomaso.

Endelea kufuatilia habari mkuu ndo tutajua nani kalagha bao.
 

Ukaguzi airport zetu bado uko loose sana kama ni deal limesukwa ni rahisi sana hizo drugs kupitishwa!! Siku moja nilishangaa dada mmoja alivyotukagua mizigo yetu pale airport ya Mwanza!! She was so careless and alone!! So mie sishangai hizo drugs kupenya kwenye hizo airports zetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Huwa sin imani na kamanda Nzowa! Nakumbuka aliwahi kutuhumiwa kutaka kumbambika mtoto wa Mengi drugs lakini hiyo issue ilipotezewa kiaina hebu tukumbushane iliishaje??
 
Aisee ndo warembo wa powder hawa.!
 

Ilikuaje ukakaguliwa mizigo kwenye local airport,, kusema kweli sijawai kukaguliwa mizigo mwanza hata mara moja,,

Sehemu wanayokagua mizigo ni JKIA tena ukiwa unaenda nje ya nchi.. But kwa safari za ndani sijawai kusachiwa
 
Mpaka muda huu maafisa wote waliokuwa uwanjani cku hiyo walitwkiwa wawe nje ya kazi
 
 
Hao vibarua tu mwenye mzigo katulia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…