nasikia wamerudishwa bongo
picha ndo limeanza:tape:Oops!
Another Bongo movie?
Time is the best advocate, lets wait & see.
nilivyosikia polisi wanaenda uko south nilijua tu wanaenda kuweka mipango sawa waachiwe.
habari ya juzi imenisikitisha kusikia madawa yanalindwa na wanajesh na polis bandarini.
huu mpambano umetushinda .

Yaani,una maanisha Prezidaa anawalinda hawa watu dhidi ya makosa yao binafsi!Sasa kwa style hii ya mkulu kuwatetea..ndo anazidi kuwapa vichwa hawa ma drug dealer..coz wanajua yupo wa kuwatetea...ujinga huu..I wsh 2015 ifike