Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hebu sasa hapa mwenye uelewa mzuri aje atowe darasa, haya ni madawa yepi?
Maana biashara kubwa ya madawa ya kulevya ni Cocain (white sugar) na heroin (brown sugar) opium hapa sijayataja madrax maana ndicho ninachofahamu.
Bado kuna mkanganyiko kwenye hili swala, @Dr Riwa hebu tusaidie haya ni madawa gani?
Mkuu Matola methamphetamine au maarufu kama meth ni dawa kama dawa nyingine zinazogawiwa mahospitalini ila hizi meth zinakuwa abused na kutumika kama kilevi na mateja.Hizi dawa kwa nchi zilizomakini huwezi kuzinunua ktk duka la dawa bila ya maandishi yenye sahihi ya daktari.Vile vile kama hujui hata valium inatumika na mateja kama kilevi pia.
Ndio maana unatakiwa ujue kuwa ukisafiri ukiwa umebeba vidonge vingi bila kibali cha daktari usishangae ukahojiwa sana kuhusu hivyo vidonge na pia wakihisi ni meth au madawa mengine yanayotumika abusevely watakwangua kidogo hivyo vidonge kisha wanachanganya kwenye solution fulani then huo mchanganyiko ukigeuka rangi ya bluu basi hapo wanajua ni meth.Na meth iko pia ya maji.Kuna wanaovimeza hivi vidonge ili kupata stim na kuna wanaovuta ule unga kama sigara,kuna wanaojidunga unga wa hivi vidonge na kuna wanao sniff unga wa hivyo vidonge.Kwa hiyo matumizi ya hii kitu ni sawa kabisa na ya cocain au heroin.Kuna vitu vingi vinatumika na mateja hadi gundi pia kama hujui inatumika kama madawa ya kulevya.
Ila sasa mimi najiuliza,
haya mavidonge yote hayo,si lazima kuna daktari au mtu aliyeko kwenye idara za afya anahusika pia!!
Maana hivi vidonge huwezi kuvipata kirahisirahisi tu,
tena kilo 150!
Asante saana queenkami kwa ufafanuzi mzuri pengine umetoa wingu kidogo ambalo mimi mwenyewe nilikuwa nalo.
Lakini najiuliza haya yote kayapataje? na kapitaje kama si mchezo wa wakubwa?
Kwenye lugha yao wana namna wanavyoita. Mfano kilo moja sio kilo kama tuliyoizoea, ni kama idadi flani ya pipi. So wakisema kilo 150 sidhani kama ni kilo tulizozizoea.
it came direct from india then dsm or malawi then south africa.
You just pack in your bag.
There is another one called F
Hdi mtu anafikia kwenye biashara za namna hii anakuwa amepitia mengi tusiyoyajua, Kwa kuwa haatujui story yake hatupaswi kuhukumu.
Duh! Mbna wote ni wasanii na wauza sura tu. Wanataka mkwanja wa haraka au ninini?
...Picha za Melisa Edward
Inahisiwa kuwa huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la Melisa Edward ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama sister katika akaunti yake ya Facebook.picha na bongo clan
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 655"]
[TR]
[TD][/TD]![]()
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]AKIWA NA MSANII IZZO B BATANI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
![]()
![]()
![]()
![]()
Source: Bloggers
Tunashukuru kwa utalaaamu. ila ..........Kwenye lugha yao wana namna wanavyoita. Mfano kilo moja sio kilo kama tuliyoizoea, ni kama idadi flani ya pipi. So wakisema kilo 150 sidhani kama ni kilo tulizozizoea.
Ndiyo wavune walichokipanda kwa muda mrefu na kututambia sana mitaani, walidhani kuna marefu yasiyokuwa na ncha.