Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

utajiri wa fastafasta ili waje watanue bongo ume wa cost!!! sasa walipitaje hapa JKN bila kuonekana na kilo 150kwenye mabegi??? its shocking??
 
Jamani hebu sasa hapa mwenye uelewa mzuri aje atowe darasa, haya ni madawa yepi?

Maana biashara kubwa ya madawa ya kulevya ni Cocain (white sugar) na heroin (brown sugar) opium hapa sijayataja madrax maana ndicho ninachofahamu.

Bado kuna mkanganyiko kwenye hili swala, @Dr Riwa hebu tusaidie haya ni madawa gani?

Mkuu Matola methamphetamine au maarufu kama meth ni dawa kama dawa nyingine zinazogawiwa mahospitalini ila hizi meth zinakuwa abused na kutumika kama kilevi na mateja.Hizi dawa kwa nchi zilizomakini huwezi kuzinunua ktk duka la dawa bila ya maandishi yenye sahihi ya daktari.Vile vile kama hujui hata valium inatumika na mateja kama kilevi pia.

Ndio maana unatakiwa ujue kuwa ukisafiri ukiwa umebeba vidonge vingi bila kibali cha daktari usishangae ukahojiwa sana kuhusu hivyo vidonge na pia wakihisi ni meth au madawa mengine yanayotumika abusevely watakwangua kidogo hivyo vidonge kisha wanachanganya kwenye solution fulani then huo mchanganyiko ukigeuka rangi ya bluu basi hapo wanajua ni meth.Na meth iko pia ya maji.Kuna wanaovimeza hivi vidonge ili kupata stim na kuna wanaovuta ule unga kama sigara,kuna wanaojidunga unga wa hivi vidonge na kuna wanao sniff unga wa hivyo vidonge.Kwa hiyo matumizi ya hii kitu ni sawa kabisa na ya cocain au heroin.Kuna vitu vingi vinatumika na mateja hadi gundi pia kama hujui inatumika kama madawa ya kulevya.
 
Last edited by a moderator:
Ila sasa mimi najiuliza,
haya mavidonge yote hayo,si lazima kuna daktari au mtu aliyeko kwenye idara za afya anahusika pia!!
Maana hivi vidonge huwezi kuvipata kirahisirahisi tu,
tena kilo 150!
 
Asante saana queenkami kwa ufafanuzi mzuri pengine umetoa wingu kidogo ambalo mimi mwenyewe nilikuwa nalo.
Lakini najiuliza haya yote kayapataje? na kapitaje kama si mchezo wa wakubwa?
 
Hapa lazima kuna mkono wa wale vigogo aliyo sema jk ana wafahamu.
 
Asante saana queenkami kwa ufafanuzi mzuri pengine umetoa wingu kidogo ambalo mimi mwenyewe nilikuwa nalo.
Lakini najiuliza haya yote kayapataje? na kapitaje kama si mchezo wa wakubwa?

Ndio hivyo ndugu yangu@Ruttashpbolwa.
Hizi deal za madawa huwa nyuma yake kuna kuwa na watu wazito sana ikitokea siku wakaanikwa hadharani wote tunaweza kuzimia kwa mshangao.
Vita ya kupambana na madawa ya kulevya ni ngumu,hata marekani wanachemsha kupambana na drug mafias.
Hawa unaosikia wamekamatwa kila siku ni watu wadogo sana ktk deal hizi.
 
Rat race ImageUploadedByJamiiForums1373553879.556301.jpg
 
Kwenye lugha yao wana namna wanavyoita. Mfano kilo moja sio kilo kama tuliyoizoea, ni kama idadi flani ya pipi. So wakisema kilo 150 sidhani kama ni kilo tulizozizoea.
 
Kwenye lugha yao wana namna wanavyoita. Mfano kilo moja sio kilo kama tuliyoizoea, ni kama idadi flani ya pipi. So wakisema kilo 150 sidhani kama ni kilo tulizozizoea.

my dear ina maana hata hao maofisa wa uwanja wa ndege huko SA wanatumia lugha wanayotumia wauza unga?
Maana hao maofisa wa airport ndio waliosema huo uzito na sio hao waliokamatwa.
 
it came direct from india then dsm or malawi then south africa.
You just pack in your bag.
There is another one called F
 
Hdi mtu anafikia kwenye biashara za namna hii anakuwa amepitia mengi tusiyoyajua, Kwa kuwa haatujui story yake hatupaswi kuhukumu.
 
Bibie nawe ni mdau kwenye hayo mambo nini?manake mambo yako safi (nikirefer brag zako hapa) afu kipato chako kama hakijustify hiyo hali
it came direct from india then dsm or malawi then south africa.
You just pack in your bag.
There is another one called F
 
Kupitia mengi hakujustify kufanya deal za drugs na kuharibu vijana nguvu kazi ya taifa,mie wasiingie kwenye anga zangu kwa kumfanya ndugu ama jamaa yangu atumie hzo drugs kwani ntapiga mtu risasi
Hdi mtu anafikia kwenye biashara za namna hii anakuwa amepitia mengi tusiyoyajua, Kwa kuwa haatujui story yake hatupaswi kuhukumu.
 
Kwa vyovyote vile huyu nanii huyu ndo amehusika sana hapo ni waziri mkubwa wa zamani hadi kitekwe yakaja anamjua vizuri kwani naye sijui kama ameacha hizi dili kwani kipindi kile mambo ya nje loh!alishusha shehena nyingi sana mzee wa Jolly club,jangele na wakili lau shama..!
 
Melisa Edward ni mfanyakazi wa Sports lounge bar ya Juma pinto inayosadikiwa kuwa inamilikiwa na Riz1 indirectly so jumlisha moja na moja mwenyewe upate jibu na ile habari ya Riz1 kukamatwa China na Sembe...
 
...Picha za Melisa Edward

Mellis Edward
Inahisiwa kuwa huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward” ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya Facebook.picha na bongo clan​

[TABLE="class: tr-caption-container, width: 655"]
[TR]
[TD]
318889_247867705248972_361763577_n.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]AKIWA NA MSANII IZZO B BATANI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
45471_142819129087164_4966203_n.jpg
38812_137013026334441_1707146_n.jpg
218069_196238717078538_6131850_n.jpg
189967_189886294380447_1972413_n.jpg

Source: Bloggers

45471_142819129087164_4966203_n.jpg

Habari ya kuaminika huyu binti kwao ni Sakina Arusha mtuu mmoja kamtambua khaaa
 
Ndiyo wavune walichokipanda kwa muda mrefu na kututambia sana mitaani, walidhani kuna marefu yasiyokuwa na ncha.
 
Back
Top Bottom