Tukiuza maji baridi typhod,bangi haramu,mihogo na lupilipili ma na luchumvi ma inakolea kosingo kipindupindu.
Na habar ya leoleo ni kuwa wamefutiwa dhamana baada ya polisi kustukia kuwa wanataka kutoroshwa
Lazima madawa hayo ya over 6 billion yalikuwa ya wakubwa kwa mantiki hiyo polisi walishatumwa kupooza mambo na binti atarudi home!! Mtandao wa madawa ni zaidi ya mimi na wewe tujuavyo!! Alikuwa amebeba mzigo wa wakubwa ati!!
On point
Za wenyewe, na wameshasawazisha
As usual
(33 members and 135 guests)
Natamani Kunywa sumu maana hatujui uongo ni upi na ukweli ni upi
(36 members and 137 guests). Na ingekuwa ni thread ya mchana wangeongezeka zaidi. Ni very sensitive issue kwa Tanzania na tunatia aibu. Imagine of a few days past wamekamatwa wanne Watz Hongkong!!! Ukifika China/Hongkong wakiona tu passport ya Tz wanakumulika hadi nguo unavua wanakupiga x=ray kabisa. Tanzania ilikuwa na sifa nzuri ila miaka ya hivi karibuni tumekuwa hovyo. Mabomu, fujo, uchomaji nyumba za ibada, madawa, udikteta, umaskini, wizi, ujambazi, etc, etc yaani it is a living hell!!
On point
Za wenyewe, na wameshasawazisha