Tukiuza maji baridi typhod,bangi haramu,mihogo na lupilipili ma na luchumvi ma inakolea kosingo kipindupindu.
hahahahahahah! na kuhusu matumizi ya pombe ya viroba?
vita hii kweli inahitaji watz wote tushirikiane kuipinga; tukitaka kuona ubaya wake kwa ukaribu zaidi tufikirie hao tunaowaona wamedhurika kwa hali zao hizo vipi wangekuwa ni watoto wako; kaka zako; dada zako; au hata wazazi wako ambao wanatakiwa wahudumie familia? hayafai