Watanzania wengi hawajui mpira

monta

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
1,271
Reaction score
1,803
Nimegundua watanzania wengi hawajui mpira..
REJEA MECHI YA TAR.2/FEB KAGERA vs YANGA.

hivi kwa akili ya kawaida lile linawezekana vipi kuwa goli?..au hizo camera za azam zinazochelewesha matukio zinawadanganya..angalieni upya ile clip utagundua mchezaji wa KS alikua amezidi kabla mpira haujapigwa ila camera ilichelewa kuonesha like tukio na kuonekana yuko sehemu sahihi..anafunga goli sekunde hiyo hiyo kabaki peke yake inawezekana vipi kuwa goli?.Asante Mungu kwa kunipa akili[emoji120]
 
Picha yako tu inaonyesha wew unawaza kwa kifupi
 
Kwa angle iliyochukuliwa na camera za Azam zinaonesha hakuwa katika eneo la kuotea. Ila camera haikuwa angle sahihi ya kuhukumu offside position. Azam waboreshe camera zao
 
Kwa angle iliyochukuliwa na camera za Azam zinaonesha hakuwa katika eneo la kuotea. Ila camera haikuwa angle sahihi ya kuhukumu offside position. Azam waboreshe camera zao

Umemaliza mkuu.
 
Kwa angle iliyochukuliwa na camera za Azam zinaonesha hakuwa katika eneo la kuotea. Ila camera haikuwa angle sahihi ya kuhukumu offside position. Azam waboreshe camera zao
Siyo kuboresha kamera, waongeze kamera
 
Title na ulichoandika ndani yake ni sawa na kaskazini na kusini
 
Duh, Watanzania Wengi hatujui Mpira...!

Huu utafiti unapatikana Kwenye Jarida rasmi lipi?

Acha kuwakejeli WaTz...!
 
Mkuu ukishaambiwa Kule Simba kumejaa mambumbumbu!! Tena aliyetuhakikishia hilo ni Mwenyekiti wa zamani wa Simba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…