Watanzania wengi hawajui thamani ya upendo

uvimbe

Member
Joined
Feb 14, 2022
Posts
83
Reaction score
82
Bongo ukimpenda mtu utaitwa mshamba. Mwanamke wa kibongo akijua unampenda na kumjali anakutangaza kwa rafiki zake kuwa amekukamata na huwezi kufurukuta, na hata fala atakuita.

Wabongo wengi hawajui thamani ya upendo. Niliwahi kununua maua Mlimani city halafu nikampa muuzaji kama ishara ya upendo, my god sitosahau. Walinishangaa mno, nilichekwa na kuulizwa we kabila gani? Ingawa yule mzee muuzaji hakucheka na hakuwa na nongwa.

Hatujui thamani ya upendo, inaonekana hatutakiwi kupendwa wala kuoneshwa upendo. Hivi wazungu wanatuacha wapi? Mbona wapo tofauti mno na sisi?

Mwisho, ni kwa nini Wabongo wengi hupenda kucheka cheka hovyo? Sio vyuoni, sio mikutanoni sio ofisini. Mbona tuna vitabia vya kipuuzi puuzi hivi?

Tunafeli wapi? Je, Trump alikuwa sahihi?

1644908975940.png

Zama zinabadilika lakini watu hawataki kwenda sambamba
 
Tatizo
Screenshot_20220215-085503_1.jpg

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1] Kwamba wanacheka cheka hovyo. Eti mkuu huwa unahisi unachekwa nini
 
Shida unatoka kuangalia filipinos drama alafu unaniletea mi machinga huo ufilipinos
FB_IMG_16447379209990398.jpg
 
Tatizo watanzania hata wakiwa barabarani wanafanya umbea na mambo yasiyowahusu

Show Love Mkuu, mpende kwa vitendo Kila anayekunguruka.
 
Mwisho, ni kwa nini Wabongo wengi hupenda kucheka cheka hovyo? Sio vyuoni, sio mikutanoni sio ofisini. Mbona tuna vitabia vya kipuuzi puuzi hivi?
Hiki kipengele ndio my current situation
Niko sehemu hapa wamekaa watu watatu wanaongea wanacheka sana tena kwa sauti hadi kuna mtu kawafuata kawaambia waheshimu mahali tulipo
 
Kuna mawili, either una low self-esteem au kila mtu unaekutana nae ni kichaa.

Sasa kama tanzania imejaa vichaa namna hii basi serikali itangaze hali ya dharula asap.
 
Yaani sisi wabongo tupotupo tu.
Ukisema basi uoneshe upendo ni shida tupu. Utatangazwa kama vile umeiba kuku mtaani. Akili zetu nahisi hazipo kwenye ubongo zimefungwa pengine yaweza ikawa miguuni
 
Bongo ukimpenda mtu utaitwa mshamba. Mwanamke wa kibongo akijua unampenda na kumjali anakutangaza kwa rafiki zake kuwa amekukamata na huwezi kufurukuta, na hata fala atakuita.

Wabongo wengi hawajui thamani ya upendo. Niliwahi kununua maua Mlimani city halafu nikampa muuzaji kama ishara ya upendo, my god sitosahau. Walinishangaa mno, nilichekwa na kuulizwa we kabila gani? Ingawa yule mzee muuzaji hakucheka na hakuwa na nongwa.

Hatujui thamani ya upendo, inaonekana hatutakiwi kupendwa wala kuoneshwa upendo. Hivi wazungu wanatuacha wapi? Mbona wapo tofauti mno na sisi?

Mwisho, ni kwa nini Wabongo wengi hupenda kucheka cheka hovyo? Sio vyuoni, sio mikutanoni sio ofisini. Mbona tuna vitabia vya kipuuzi puuzi hivi?

Tunafeli wapi? Je, Trump alikuwa sahihi?
Kweli ni UVIMBE
 
Huu ulikuwa sawa na ule mlipuko wa kusakata rhumba ulioikuta germany miaka ya 1880s. Watu wanasakata rhumba bila kuacha mpaka wanaanguka wanakufa
[emoji23][emoji23][emoji23]huo wa kusakata rhumba ndo ulikua balaa aiseh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Poleeeh kwa kuachwa, jipange na Valentine ijayo,
Acha maisha yaendelee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bongo ukimpenda mtu utaitwa mshamba. Mwanamke wa kibongo akijua unampenda na kumjali anakutangaza kwa rafiki zake kuwa amekukamata na huwezi kufurukuta, na hata fala atakuita.

Wabongo wengi hawajui thamani ya upendo. Niliwahi kununua maua Mlimani city halafu nikampa muuzaji kama ishara ya upendo, my god sitosahau. Walinishangaa mno, nilichekwa na kuulizwa we kabila gani? Ingawa yule mzee muuzaji hakucheka na hakuwa na nongwa.

Hatujui thamani ya upendo, inaonekana hatutakiwi kupendwa wala kuoneshwa upendo. Hivi wazungu wanatuacha wapi? Mbona wapo tofauti mno na sisi?

Mwisho, ni kwa nini Wabongo wengi hupenda kucheka cheka hovyo? Sio vyuoni, sio mikutanoni sio ofisini. Mbona tuna vitabia vya kipuuzi puuzi hivi?

Tunafeli wapi? Je, Trump alikuwa sahihi?

FB_IMG_1644910871376.jpg
 
Nikweli mkuu,hapo kwenye kuchekacheka kwakweli sio Tabia njema yaani,unakuta MTU eti wanasema matani sijui mcheshi,mm siipendi Tabia yakuchekacheka nawala sipendi masikhara au utani hasa wakuvunjiana heshima still bado Niko mcheshi freshi Tu,hizi Tabia maranyingine hutufanya kuonekana hatuko serious namaisha
 
[emoji1] Kwamba wanacheka cheka hovyo. Eti mkuu huwa unahisi unachekwa nini
Tabia ya kucheka Cheka wageni tena wazungu wanaipenda Sana na wanatusifia wa Tanzanian wacheshi hawana tabia ya kuwakasirikia na kuwanunia wageni tofauti na nchi zingine ndiyo maana mgeni yoyote akija Tanzania hataki kuondoka nchini
 
Back
Top Bottom