Watanzania wengi hawaogi na hawapaki deodorant

Ee mana inakuaje mtu mzima haogi hadi abembelezwe. Ni aibu kubwa
Shangaa hata wewe, huwa nawaza pale nyumbani kijana asuse kula kwenye nyumba ya nani, huyo hata kwa mkewe hawezi fanya hivyo, hawa sasa wanaolelewa kwenye ma hotpot balaa
 
usafi wa mwili wako ujishughulikie mwenyewe kwanza, huyo mke wako atakuwa ziada tu.
 
Kuna siku nilipanda daladala dah, nikatamani kushuka fasta
 
Yaah,
Dar es salaam Kuna kipindi ni Cha joto so mishee mishe zikiwa juani kunuka jasho kawaida.....

Ni tofaut na wanao shinda kwenye kiyoyozi..full AC

PAUL MAKONDA atakumbukwa,

Paul makonda aliwai kuwaambia WATU,
Wanapo kuja dar es salaam Kwa ndugu au kutembea wasikae sanaa........😀😀😊😊😂😂🤣🤣

Pia aliwai kuwa ambia watu kwenye Vyumba vya kupanga wasikae zaidi ya watu WAWILI.....
Una Kuta chumba Cha kupanga kina watu zaidi ya Saba....alikemea sana hili swala.....😊😊😊😊
 
Kuoga wanaoga ila wengi sana hawapaki deodorant,utasikia mtu mimi sina harufu ya jasho kabisa,anasahau kuwa harufu yako mwenyewe huwezi kuifeel kama ni mbaya kwakuwa ameshaizoea...
 
Kuoga wanaoga ila wengi sana hawapaki deodorant,utasikia mtu mimi sina harufu ya jasho kabisa,anasahau kuwa harufu yako mwenyewe huwezi kuifeel kama ni mbaya kwakuwa ameshaizoea...
Hakika
 
Cha msingi watu waoge, waoshe vinywa na kupaka deodorants
 
Halafu ukute mwingine hata anapojisaidia during the day hawatawazi vizuri basi weee ni mtihani nakwambia!


Sipati picha!

Halafu Eti akwambie “Mpenzi geukia kwangu” [emoji3][emoji28]

Mmnh hapana jamani!
 
Na wengine hata akioga anafanya kujimwagia tu maji!

Hapaki sabuni na kutoa povu jingi na kujisugua makwapani na huko chini “karakana” kwenye mikunjo.

Unajua maumbile ya kiume yako a bit complex ukilinganisha Na ya mwanamke!
 
And all these begin with mindsets.

Tuchukie uchafu wa aina zote.

Uchafu ni chanzo cha magonjwa mengi sana.

Ndiyo maana wengine wanapata magonjwa ya ngozi , tumbo, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…