Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Kwani Watanzania kipi wanacho pendelea na wamekifanikisha?Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.
Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Africa magharibi na kenya.
Why this[emoji848][emoji848]
I meant wachache kuliko wakenyaUnachosema ni kweli,hata passport tu mtu kuwa nayo anaona kama sio kitu anachostahili, labda ni za watu fulani tu, hata kama uwezo wa kuipata anayo. Ila sisi pia hatuna courage sana kama wakenya ndio maana idadi ya wa TZ wanaoenda kupambana nje ni wachache kuliko sisi. Lugha pia imeendelea kuwa changamoto, kama ingewezekana shule za serikali zingefundisha masomo yote kwa kizungu tangu la kwanza.
Shida ni ki-inglish mkuu, lugha baba! Tutaongeaje huko kwa watuUkiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.
Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya.
Why this🤔🤔
Walijazwa ujinga kuwa watu wa nje wote ni wanyonyaji damu (mumiani) .Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.
Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya.
Why this🤔🤔
Siyo nchi za nje tu, kuna wengine tokea wazaliwe mpaka wamezeeka hawajawahi kwenda nje ya mikoa yao.Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.
Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya.
Why this🤔🤔
Kupata exposureUnaondoka TZ uende wapi
Nchi kila sehemu kunafursa
Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.
Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya.
Why this[emoji848][emoji848]
Wanaotokanhuko mbali na kuja kuushangaa mlima Kilimanjaro wamekosea fursa huko kwao?Unaondoka TZ uende wapi
Nchi kila sehemu kunafursa
Kati ya vitu nyerere alichemka ni pale alipokopy na kuupaste ujamaa Tz matokeo yake ukawafanya watu kutokuwa na utamaduni wa kutafuta fursa au kuwa na ushindaniWalijazwa ujinga kuwa watu wa nje wote ni wanyonyaji damu (mumiani) .
[emoji23][emoji23][emoji23]Walijazwa ujinga kuwa watu wa nje wote ni wanyonyaji damu (mumiani) .