Watanzania wengi hawapendi kusafiri

Watanzania wengi hawapendi kusafiri

Unachosema ni kweli, hata passport tu mtu kuwa nayo anaona kama sio kitu anachostahili, labda ni za watu fulani tu, hata kama uwezo wa kuipata anayo.

Ila sisi pia hatuna courage sana kama wakenya ndio maana idadi ya wa TZ wanaoenda kupambana nje ni wachache kuliko sisi.

Lugha pia imeendelea kuwa changamoto, kama ingewezekana shule za Serikali zingefundisha masomo yote kwa kizungu tangu la kwanza.
 
Unachosema ni kweli,hata passport tu mtu kuwa nayo anaona kama sio kitu anachostahili, labda ni za watu fulani tu, hata kama uwezo wa kuipata anayo. Ila sisi pia hatuna courage sana kama wakenya ndio maana idadi ya wa TZ wanaoenda kupambana nje ni wachache kuliko sisi. Lugha pia imeendelea kuwa changamoto, kama ingewezekana shule za serikali zingefundisha masomo yote kwa kizungu tangu la kwanza.
I meant wachache kuliko wakenya
 
Niondoke nchi nzuri kama hii yenye vivutio lukuki niende wapi..nitabaki hapahapa ngorongoro,serengeti,bahari ya hi Di,dar es salaam ,dom,iringa,singida,lindi n.k
 
Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.

Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya.

Why this🤔🤔
Shida ni ki-inglish mkuu, lugha baba! Tutaongeaje huko kwa watu
 
Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.

Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya.

Why this🤔🤔
Siyo nchi za nje tu, kuna wengine tokea wazaliwe mpaka wamezeeka hawajawahi kwenda nje ya mikoa yao.
 
Nani atakubali Death opportunities huko GAZA si bora nikae nanjilinjili nilime mahindi kwa amani kabisa
 
Back
Top Bottom