Waambie haoDini ni taasisi km taasisi zingine usijisahaulishe ndio maana huwezi kuanzisha kanisa km huna vibali, kwa hio kaa mkao wa kutoa Sadaka na kuchangia ujenzi wa kanisa hayo mengine waachie wenyewe
Ukisikia hospitali wanakwambia huyo mgonjwa mrudishe nyumbani hapa imeshindikana elewa wanakwambia katumie namna "yenu".Ndiyo asili ya Waafrka wengi, huwezi kumtoa mtu asili yake kirahisi rahisi.
Watu kibao nimewaona na chale za kwenye matambiko, niliwahi kuifanya kazi fulani iliyoweza kunipa access ya kuwaperuzi wanaume kwa wanawake wakiwa vifua wazi, ysani ni wengi tu wanazo chale za matambiko ama waganga.
Kuna watu wanarogwa na kuzunguka makanisani na misikitini hasa hii feki feki ya kuigiza, mtu haponi kabisa, hapo kinachobaki huwa ni kwenda kwa waganga tu.
Dini ni taasisi km taasisi zingine usijisahaulishe ndio maana huwezi kuanzisha kanisa km huna vibali, kwa hio kaa mkao wa kutoa Sadaka na kuchangia ujenzi wa kanisa hayo mengine waachie wenyewe
Mkuu hukunielewa nilichokiandika, Dini uanzilishi wake na muendelezo wake sio tatizo nakumbuka kipindi cha miaka ya 90 wachungaji walikua wanakuja mitaani na pazia jeupe na projector kuja kuonyesha picha ya Yesu watoto wakimaliza kucheza mpira uwanjani picha ya Yesu unawekwa wanaangalia picha ya Yesu (video) baada ya hapo mchungaji anahubiri kidogo anaenda zake, kesho hivyo hivyo na ilikua bure bila malipo Wala sadaka Wala kiingilioBaadhi ya Waisrael waliamini baada ya kufufuka. Baadhi bado hawaamini
kiasi kwamba Hilo andiko la Isaah 53 hawalitambui maana liliandikwa 700 yrs before Yesu kuzaliwa.
OkMkuu hukunielewa nilichokiandika, Dini uanzilishi wake na muendelezo wake sio tatizo nakumbuka kipindi cha miaka ya 90 wachungaji walikua wanakuja mitaani na pazia jeupe na projector kuja kuonyesha picha ya Yesu watoto wakimaliza kucheza mpira uwanjani picha ya Yesu unawekwa wanaangalia picha ya Yesu (video) baada ya hapo mchungaji anahubiri kidogo anaenda zake, kesho hivyo hivyo na ilikua bure bila malipo Wala sadaka Wala kiingilio
Siku hizi my brother umekua tofauti, umenipeleka Israel mimi nimekuleta bongo hapa kwenye uhalisia wenyewe dini ni zaidi ya taasisi ingawa wana msamaha wa Kodi Ila ni taasisi vibari vyote walivyopewa na serikali wanavilipia na kanisa likienda kinyume na Serikali linapigwa kufuli lisiendeshe ibada refer Seguye wa MVR amepigwa komeo asiendeshe ibada, refer Kakobe alishawahi kupigwa komeo na Serikali asiendeshe ibada
Nadhani utakua ushanielewa nilimaanisha nini ninaposema Dini ni Taasisi ndio maana kanisa la Kakobe lina hadi Bendera yake,
Wewe andaa sadaka nenda kanisani ukachangie maendeleo ya ujenzi wa kanisa lako, Waisrael pamoja na kwamba hadi leo wanaitumia Bible ila wanatambua Agano la Kale tu na Agano Jipya hawalitambui hio unamaanisha kwamba Waisrael hawamtambui Yesu Mesiah unaemtambua wewe km mwokozi na mkombozi wa ulimwengu wao wanamngoja Mesiah wao wanaomjua wao, acha niishie hapa mkuu
Kuna mchizi wangu mmoja alinipa story, kwao walikuwa na ndinga kadhaa, sasa ndinga ya dada yake ikaharibika.Ndiyo asili ya Waafrka wengi, huwezi kumtoa mtu asili yake kirahisi rahisi.
Watu kibao nimewaona na chale za kwenye matambiko, niliwahi kuifanya kazi fulani iliyoweza kunipa access ya kuwaperuzi wanaume kwa wanawake wakiwa vifua wazi, ysani ni wengi tu wanazo chale za matambiko ama waganga.
Kuna watu wanarogwa na kuzunguka makanisani na misikitini hasa hii feki feki ya kuigiza, mtu haponi kabisa, hapo kinachobaki huwa ni kwenda kwa waganga tu.
Amen mkuu 🙏 bless blessOkay
Ok
Nimeona tupo kwenye ukurasa unaofanana.
Religion misuse na mgongano wa Imani (faith crisis) ndio Dunia imefika kuelekea ujio wa pili wa Emmanuel.
Nikutakie heri