😁Ukishakuwa mtu mzma chai sio muhimu kwenye maisha labda watoto na wanafunz mashuleni
Ukishakuwa mtu mzima maziwa sio muhimu sana kutumia kila siku, labda useme kuwapa watoto chai ya rangi wakati wanahitaji nutrients za kutosha sio sawa.
Mbona kinyonge sana😎Ukishakuwa mtu mzma chai sio muhimu kwenye maisha labda watoto na wanafunz mashuleni
Nimejikuta sipendelei tuu mkuu hata baadhi ya vyakula sivip kipaumbele km miaka ya nyumaKwa nini?
si kila anayekunywa chai ya rangi ni maskini wengine hawapendelei maziwa il wanawez kuafford 4 everydayKutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu.
Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na mihogo, maandazi na vitumbua kwa sababu wanapenda tu au kwa sababu chai ya rangi ni tamu kuliko ya maziwa.
NAKAZIA.Swali je kati ya wewe unaekunywa chai ya maziwa na mikate yakumimina na sisi tunywao chai ya rangi na mihogo au sisi tusiokunywa kabisa chai asubuhi nani mwenye afya ya huakika na je nani ataweza kufanya kaz zakiume zaidi bila kuchoka kiwepesi?