Watanzania wengi kunywa chai ya rangi inawezekana ni dalili ya umasikini

Na akinywa ya maziwa anaweka na majani ya chai 😂
Mimi pia maziwa bila kuweka majani ya chai huwa nayaonaje sijui,Huwa naweka Yale tea bag! Maziwa yenyewe haya yakuongezwa maji kibao ndio kabisa.
 
Mimi pia maziwa bila kuweka majani ya chai huwa nayaonaje sijui,Huwa naweka Yale tea bag! Maziwa yenyewe haya yakuongezwa maji kibao ndio kabisa.
Sasa hapo utafauti n upi na anayekunywa bila maziwa?
 
Chai ya Rangi kwa hapa kwetu ni utamaduni
 
Hakuna asiye penda kula vizuri na kunywa vizuri ni vile hali ya maisha inafanya ule au kunywa kinacho patikana.
 
maziwa ni kwa ajili ya watoto wewe, mtu mzima kwako hayakusaidii chochote kiufupi hayana faida yoyote labda ladha tamu kama wewe unaiona tamu wengine ile harufu tu inatuchefua.
ukishakuwa mtu mzima hauhitaji nutrients unahitaji elements of nutrients, ndo maana wajanja wanakunywa chai dawa (herbal tea) bila kitafuno na hospital wanazisikia kwa bomba
 
Maziwa yanaleta Hasara Kwa mwanaume
 
Maziwa yanaleta Hasara Kwa mwanaume
ni kweli, sasa hivi watu wamehamia kwenye vitu kama tangawizi, mchaichai, mdalasini na Green tea yaani unakunywa chai unapata faida mara mbili maana hivyo viungo vyote ni dawa nzuri tu, Sema dokta hawezi kukwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…