Watanzania wengi ni wachawi, makinika

Watanzania wengi ni wachawi, makinika

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
DALILI kuu ya mtu anayeitwa mchawi ni kupata furaha, amani au raja moyoni pindi mtu hasa yule wa karibu naye anapopata matatizo.

Kwanini nasema Watanzania wengi ni wachawi?

Ni kwasababu Watanzania raha yao ni kuona watu hasa wa karibu yao wanakwama, wanafilisika, wanahangahika kusaka ajira pasi mafanikio, hawazai, n.k.

Ushauri: Kuwa makini na ndugu zako wa damu, marafiki zako na watu unaofanya nao kazi. Hawakupendi, hiyo hali ya kutokukupenda inapokomaa wanakuroga aidha kwa uchawi wa fikra , uchawi wa miti, kitabu n.k.

Acha kuzoeana na watu hovyo, hao ndio wanaokukwamisha. Peleleza vizuri utagundua huyo rafiki yako pika pakua hafurahii ukimwacha hatua katika maisha.

Kuwa makini na watu. Ikiwezekana mwamini mama na mke wako tu pamoja na watoto ambao wanatamani wakuone big father au big maza.
 
Kwamba umwamini mke wako??????????????????

Sure?????
 
Back
Top Bottom