Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina.
Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la ardhi. Sasa chuki za nini?
Au tatizo ni uelewa mdogo?
Kuna member mmoja humu mpaka anatamani John pombe afufuke ili awatimue hao wageni.
John pombe mungu wa wajinga na wapumbavu mbona mnautukuza sana huku hana maajabu?
Acheni uchawi na roho za kishamba.
Kama mtu anaweza kupewa uraia maana yake anaweza pia kunyang'anywa muda wowote. Hofu yenu iko wapi?
Mbona Mtanzania akipewa uraia wa harakaharaka South Africa, Namibia au US hampigi kelele.
Tatizo hata exposure hamna, mkisafiri na Shabib, Saibaba au super Feo ndio mmemaliza.
Washamba wanakuja na hoja ooohoo Sheria hazijafuatwa. Ukimuuliza Sheria zipi hana jibu anabaki kukodoa macho kama mjusi.