Mbona hilo nimesha lieleza hapo juu kwenye uzi mkuu kasome tena pale mwishoni.uko Sinza.
Umefanya jukumu lako la kuweka nyumba na mazingira yako safi.
Taka unaziweka wapi?.
Utaweka kwa dustbin au trash bag na kutoa nje.
Mamlaka isipopita wiki nzima kuja kuzitoa . Nan atakuwa mchafu? .
Nadhani haujanilewa na hautanielewa mkuu uwe na siku njema.Mkuu kama kila mmoja akiwa msafi kwenye maeneo yake huo uchafu wa maeneo mengine unatoka wapi?
yani ni maiti ziinazo tembea.
Huyo mshkaji ni Mbaga jr.
π Lazima nyeto ifike mbali ili tuwafungua macho waliopotea katika zimwi la mapenzi yenye kisononoHuyo mshkaji ni Mbaga jr.
Anataka kucheka anajizuia
Una ujasiri Wa kutosha Mkuu, Nipunguzie kidogo at first nilijua ni AI .π Lazima nyeto ifike mbali ili tuwafungua macho waliopotea katika zimwi la mapenzi yenye kisonono
Nyeto n jambo jema ndio maana unaona tumefikia hapoUna ujasiri Wa kutosha Mkuu, Nipunguzie kidogo at first nilijua ni AI .
Kwa mtindo huu Gen Z wamewazidi mbali wazee wetu
Nyet0 To the Jumba Jeupe .Nyeto n jambo jema ndio maana unaona tumefikia hapo
Baada ya kufanikisha vijana wengi zaidi kuingia kwenye nyeto pamoja na kuwashawishi vijana wengine waiingie huko, soon tutaanza kuwashawishi viongozi wa serikali na taasisi za dini kuhubiri na kusema kuhusu mazuri ya nyeto kwenye kila mikutano wanayofanya πNyet0 To the Jumba Jeupe .
Nyeto kwenye Viunga Vya Ikulu Ndogo
Upi mkakati katibu mwenezi?
Naunga mguu hoja .Baada ya kufanikisha vijana wengi zaidi kuingia kwenye nyeto pamoja na kuwashawishi vijana wengine waiingie huko, soon tutaanza kuwashawishi viongozi wa serikali na taasisi za dini kuhubiri na kusema kuhusu mazuri ya nyeto kwenye kila mikutano wanayofanya π
Nakutumia Lipa namba πNaunga mguu hoja .
Nitumie account No niweke mzigo wa Maana kufanya mobilization.
Kitengo cha lobbying Na PR Kipo Tayari.
Wale Twaruka Prrrrr
Hii nchi haina viongozi ina wachungulia fursa tu,tukisema katiba ibadilishwe wanatishambulia mfumo wa chama kimoja kilichojaa ufisadi ndio umeharibu na unaendelea kuharibu hii nchi.Hizi Nchi za kiafrika ni za kipumbavu sana yaani majukumu ya watu ya kil siku eti Hadi Rais aseme ,imagine hapo Kuna Waziri wa Afya, mazingira na ustawi wajamii,Kuna watuwanaitwa maafisa mazingira huko wikayani,Kuna watu wanaitwa mabibi Afya Hadi kwenye kata yaani inashangaza sana.
Niliwahi andika siku moja kwamba Magufuli day imekufa nae.
Sasa Hilo la uchafu ni suala Moja kati ya mengi ambayo eti yanahitaji Rais aseme.
Miundombinu ya uhifadhi na usafirishaji wa taka nani anawajibu wa kuiweka?unataka mwananchi taka atupie wapi kama mitaani hakuna wastebin au magari ya kuziondoa.?Ni sahihi serikali inapwaya lakini raia nao ni wachafu tu hakuna kutetea hilo .
Au unataka na haya ππ serikali ikufanyie.
Jitu linatupa taka hovyo.
Jitu linatembea linavuta sigara hovyo.
Jitu linaenda toilet linatumia choo halisafishi linaacha uchafu wake pale(mkojo au kinyesi chake).
Jitu halipigi mswaki linatembea domo linanuka hovyo(alafu mijitu ya hivi inakuwa miongeaji sana wakati domo linanuka kama choo).
Jitu mvua ikinyesha tu linazibua chemba za uchafu.
Jitu linakula chakula au kitu ndani ya usafiri alafu linatupa uchafu nje.
Na mauchafu mengine mengi.
Hii nchi mkwamo upo kwenye katiba hususani usimamizi na uwajibikaji.Sio kweli,CCM haitekelezi Wala Kusimamia sheria Bali Kuna wahusika wanasemaga eti inategemea upepo wa Juu.
Ndio maana Huwa nawaambia watu wajinga kwamba utamaduni haubadikishwi Kwa Katiba Mpya Wala sheria ,hata uwe navyo havitaondoa rushwa mahakamani Wala Kwa trafiki
Mkuu hao pia nimewa-zungumzia kwenye uzi. Kiufupi hatuna viongozi nahiyo ni kwasababu ya ujinga wa kitanzania. Pesa za taka zinakusanywa lakini taka hawaji kubeba.Miundombinu ya uhifadhi na usafirishaji wa taka nani anawajibu wa kuiweka?unataka mwananchi taka atupie wapi kama mitaani hakuna wastebin au magari ya kuziondoa.?
Wanazidiwa ustaarabu na paka, akitaka kujisaidiaMkuu watanzania wengi ni wachafu kwa kila kitu