Haipo kwenye DNA. Watu wanaosema haya mambo yapo kwenye DNA nao ni tatizo, maana wanajaribu kujustify huo uchafu au kuwaaminisha Waafrika kuwa hawawezi kuwa wasafi. Na unapoleta narrative kama hii unapunguzia watu self esteem na baadae wanakata tamaa wanajiona hawawezi kuleta mabadiliko yoyoteJe hali hii ipo kwenye DNA, makazj yetu yanatakiwa yawe ya saizi ya kijiji, yakizidi ukubwa huu na wingi huo wa kuzidi kijiji basi mazingira yake kuyatunza inakuwa changamoto mfano mji au jiji
View: https://m.youtube.com/watch?v=LA-zbbgHcL8
Masaki wamevunja vibanda walau itatakata.Kuna haja ya kutungwa kwa sheria ambazo zitalifanya jiji liwe safi ,kuwe na fine kali na vifungo.
Jiji la Dar ni la hovyo yaani hata hizo sehemu prime nazo JAU ,yaani hata ukienda oysterbay,masaki,mikocheni bado mauchafu ya kutosha yapo.
Ebu ingia youtube search LA Tour ,Chicago Tour ,Atlanta Tour , Miami TOur halafu angalia majiji ya wenzetu yalivyo masafi yaani hata akitemmbea 2hrs na gari haukuti lundo la takataka barabarani au mashimbo barabarani.
Haipo kwenye DNA. Watu wanaosema haya mambo yapo kwenye DNA nao ni tatizo, maana wanajaribu kujustify huo uchafu au kuwaaminisha Waafrika kuwa hawawezi kuwa wasafi. Na unapoleta narrative kama hii unapunguzia watu self esteem na baadae wanakata tamaa wanajiona hawawezi kuleta mabadiliko yoyote
Hii video nimeshawahi kuiangalia mara mbili, huyo jamaa video yake ni destructive na sio constructive, alikuwa anaquestion abilities za Waafrika as race kwenye kuwa wasafi wakati hata yeye mwenyewe anajua Rwanda ni pasafi na wanakaa Waafrika so problem ni more like kujiendekeza, na sio kuwa Mwafrika. Hakutoa hata solution video nzima, Useless video
Kuna demu fulani wa Ghana nimesahau account yake, yeye video zake nyingi zilikuwa zinasuggest solution smart kabisa, sio kama hii ya kudoubt ability ya Waafrika kuhusu kujali usafi wa mazingira
We need solutions, sio self doubts na insecurities
Unadhani Waafrika hawajakubali tatizo. Wanajua kuhusu tatizo la uchafu, wanajua sababu ya Africa miji yake kuwa michafu ni ipi na wanajua cha kufanya ni kipiTukubali tatizo na kisha kujisahihisha. Bila kuona ukweli huo itakuwa ngumu kuwa na miji safi, mipango miji, usafiri miji wa uhakika, maji ya bomba n.k
Unadhani Waafrika hawajakubali tatizo. Wanajua kuhusu tatizo la uchafu, wanajua sababu ya Africa miji yake kuwa michafu ni ipi na wanajua cha kufanya ni kipi
Enforcement ndio hakuna. Hizo self doubts za kudehumanize Africans kama kwenye hiyo video ni unnecessary
Pepo ya Mabwege It critiques corruption, greed, and fraudulent behavior among the newly rich elite in post-independence African societies.
Sasa swala la usafi ni mpaka lizungumzwe na Rais ndiyo lifanyiwe kazi kweli? Kaandika hapo mtu ananunua chakula ila anakuja kutupa nje uchafu na dustbin zimo humo humo, just assume mtu anatoka chooni anaona kabisa kachafua na anaacha jitu zima nyumbani linaitwa baba, kama hayo madogo yanamshinda mtu ataweza kufanya eneo lake liwe safi? Eti mpaka aseme Rais huo ni upambavu na ni aibu.Amri ya mkuu wa nchi ni kama sheria.
😂😂😂Majitu majinga kiasi cha kuamini uchawi unafanya kaz kwanini yasiwe machafu.😡💩😡
Unakuta limtu lunatoa uchafu puani linauangalia linautupa kisha linaingiza kidole mdomoni kutoa hindi lilonasia kwa meno kisha linakuvunjia hindi ule.😮
Sio kweli. Uchafu sio asili, ni culture ya watuAsili haikwepeki wape miezi miwili tuu... Watanzania ni wachafu mno.
sasa mimi kosa langu liko wapi.. au kusema ukweli ndo naonekana mbaya. ushapita masokoni nyanya cabage zipo chini watu wananunua na hamna anayeshtuka... ushawahi tembelea machinjio..Sio kweli. Uchafu sio asili, ni culture ya watu
Na kama zilivyo culture nyingine, inaweza kutokomezwa vizuri tu
Mawazo kama haya yako ndio yanatumika kujustify uchafu na upuuzi Tanzania
Na Tanzania ni chafu kwa sababu watu wake wengi wana mawazo kama yako
Huo sio ukweli. Hapo ni kuencourage watu kuendelea kuwa wachafu. Unawaaminisha kuwa ni nature yao kitu ambacho sio kweli. You just make things worsesasa mimi kosa langu liko wapi.. au kusema ukweli ndo naonekana mbaya. ushapita masokoni nyanya cabage zipo chini watu wananunua na hamna anayeshtuka... ushawahi tembelea machinjio..
Umeniacha hoi! Mwanaume akiwa msafi ni shoga! Au tuseme akijipodoa.Usafi utakuaje ikiwa mindset ya watu wake ni kuwa mwanaume akiwa msafi basi ni shoga.
Tatizo kuu ni ELIMU, ELIMU. ELIMU.
sababu ni UJINGA, UJINGA, UJINGA.
Akiwa msafi. Kujipodoa huko mbali sana.Umeniacha hoi! Mwanaume akiwa msafi ni shoga! Au tuseme akijipodoa.
kweliHuo sio ukweli. Hapo ni kuencourage watu kuendelea kuwa wachafu. Unawaaminisha kuwa ni nature yao kitu ambacho sio kweli. You just make things worse
Mkuu wanasubiri mpaka Mh Rais aseme. Majitu hayajitambui yanaishi kama yamekufa maiti kabisa zinazo tembea.Watu wachafu mji mzima hata ukisema upate kiongozi wa usafi huwezi kumpata