😂😂😂Yaani kama Jana nilikuwa safarini dada wa watu akatangaza kabisa,jamani chonde chonde choo hiki ni Kwaajili ya haja ndogo tu usitumie Kwa matumizi mengine kama una dharura usisite kusema tutakusaidia...wooii mtu akaingia sijui kajisaidia haja kubwa😁😁😁nyiee
Ila Sasa sisi siyo takataka jamani🥲
Wazo zuri mkuu.
Hata mabango yale ya kampeni ipigwe marufuku kubandika bandika hovyo mpaka inakuwa uchafu. Inatakiwa yabandikwe sehemu nzuri sio kila sehemu wanabandika tu alafu hawaji kutoa kampeni zikiisha inakuwa uchafu.
Ni kweli kabisa yaani watoto wanaambiwa kusafisha choo au sehemu zingine kama moja ya adhabu na sio kama maisha ya kila sikuMkuu,unajua usafi ni tabia,usafi huwezi kuufanya kama event ya muda fulani tu,
Waelimishwe watoto toka mashuleni jinsi ya kuweka mazingira safi,kumfundisha mtu mzima ambaye hana tabia ya usafi ni kazi bure tu,
Nchi kama Japan,usafi ni culture yao,wala haihitaji mtu kuambiwa afanye usafi coz usafi ni sehemu ya maisha yao,ni tabia yao.
Huyo alikuwa akimghilbu akili zake na kumfanyia dhihaka.Hii clip imedhibitisha kweli sisi ni wajinga .. jamaa angekuwa na I q kuwa Kuna mengi ya kumuuliza huyo r c lakini kwa vile hamna mwenye afadhali hapo nothing new
Kila siku naongelea hilo swala lakini watu wananitukana nisifatile maisha yaoHakika Mkuu watanzania wengi ni wachafu lakini sio uchafu tu na ujinga ndani yake tena ujinga sugu.
Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kuona mazingira machafuchafua alafu akaangalia tu bila kufanya jambo.
Hazitofanya kitu ma teuzi zaoni za fadila na upendeleo so ni mwendo wa kuweka viongozi dhaifu tu.Ni kweli hamna kitu ,walikuwa hawajiongezi ila kwasasa ndiyo ziwe KPIs zao...Wakifeli wakae pembeni wawekwe wengine.
DAR ni hvyo aibu tupu ,wageni wakija ni AIBU sana!
Kuna account moja iko mtandao wa X ya kibaokata,unakuta jamaa linalomba wale malaya wa kibao kata kavu bila hata kuvaa mpira,huyo mtu ukute ana mke ana michepuko kibaoo nje, hali ni mbaya sana.Mkuu hapo mwishoni umeupiga mwingi sana, mijitu inazinizini hovyo ndo maana gono hazijawahi kuwaisha
Source please
Sheria zipo shida ni wana siasa wa ccm,kubembeleza raia kisa ni wapiga kura.Mkuu watu wachafuwachafu akili zao ni zakijinga hawawezi kukubali tatizo bila sheria kali.
Wakitokea viongozi wazuri wakufanya mipango mizuri yakupanga miji kuwa safi. Wajinga na wachafu wanaibuka kuanza kulialia.
Mfano yamejegwa masoko ya kisasa kama Maching complex na soko la Magomeni pale cha ajabu watu hawataki kuingia na kufanya biashara mle ndani wanataka kupanga nyanya, vitungu, mbogamboga n.k barabarani.
Sasa watu kama hawa wanahitaji sheria kali ili waweze kwenda sawa hivi hivi hawawezi kwenda.
Hili nalo ni tatizo serikali haiwajibiki ipsavyo unaweza tembea zaidi ya km 1 tena jiji kubwa kama dsm hkutani na wastebin,magari ta kuondosha taka hayapiti mitaani,viwanda vya mifuko ilopigwa marufuku vinazalisha na wala haviwajibiki kwa uchafuzi wa mazingira vinavyoleta.Aliweka miundombinu stahili ya usafi?
Aliweka dustbin zinazotosha kwa ajili ya ukusanyaji wa taka?
Au ni kusifia kiki za kisiasa zisizo na tija?
Hawataki ukweli wala uwajibikaji,huko kwenye kandarasi full upigani ni mwenfo wa 10%.Hakuna miundombinu sahihi ya ukusanyaji uchafu.
Leo hii unaweza ukatembea zaidi ya mita 100 au kilomita 1 na usikute dustbin hata Moja.
Wamepewa tenda vikampuni vya ukusanyaji uchafu lakini havina uwezo huo, vinaingia mtaani mara Moja kwa mwezi, tupo serious?
Haya matatizo yalianza na sera mbovu, utekelezaji mbovu halafu lawama zinakwenda kwa jamii yote
Mkuu unataka ufanyiwe kila kitu wewe kazi yako ni nini katika jamii.Aliweka miundombinu stahili ya usafi?
Aliweka dustbin zinazotosha kwa ajili ya ukusanyaji wa taka?
Au ni kusifia kiki za kisiasa zisizo na tija?
Mindset change.Ni kweli kabisa yaani watoto wanaambiwa kusafisha choo au sehemu zingine kama moja ya adhabu na sio kama maisha ya kila siku
Akifika nyumbani anaona kama adhabu tu
Kwani walikuwa wapi siku zoteAmri ya mkuu wa nchi ni kama sheria.