Watanzania wengi ni wajinga sana.

Mara nyingi Huwa nasema Moja ya sifa za Hilo Jiji lenu Uchwara ukiacha Uswazi ni mauchafu Kila mahala,niloshakataa kuishi hulo.

Imagine uchafu combined with msongamano,slums,madimbwi kwenye Barabara za mitaani ni shida tupu.
 
Tanzania walio soma na ambao hawaja soma wote ukija kwenye uchafu wanakaa kapu moja. Vijana wanasoma kuja kupokea mishahara tu sio kutatua changamoto katika jamii zao.
Vitu vya usafi vina kodi kubwa kama vinakuja kuongeza kipato kwa Wananchi unakuta % washing mashine na detergent za usafi zina balaa kwenye bei..
 
Mara nyingi Huwa nasema Moja ya sifa za Hilo Jiji lenu Uchwara ukiacha Uswazi ni mauchafu Kila mahala,niloshakataa kuishi hulo.

Imagine uchafu combined with msongamano,slums,madimbwi kwenye Barabara za mitaani ni shida tupu.

Ulikuwa unaishi wap?.
Dar bana ukiishi sehem za hovyo lazima uone jiji chafu.
 
Mkuu majitu ni maiti zinazo tembea yani hayajui moja wala mbili kuhusu usafi wa mazingira.

Wasomi nao ni kama hawajasoma hawana faida kwenye jamii naona wamesomea kupokea mishahara, kula, kutita na kulala.
 
Mijinga mijinga hii haiwezi kukuelewa mkuu.
 
Hilo pa sigala sijawahi ona yeyote akilisimamia zaidi ya Matamko tuu
Wewe Raia inatakiwa ujisimamie mwenyewe kama kweli unajitambua. unataka mpaka usimamiwe kwamba usivute sigara public 😀 huo ndiyo ujinga wenyewe.
 
Changamoto sana mkuu kama unafamilia jitahidi kuwasisitiza usafi.
Kwangu hakuna upuuzi huo kila mmoja anajua wajibu wake
Tangu wadogo sana wanajua kuwa usafi ni moja ya imani
Hata kuvunja kitu hawajui
Wamenyooka kama rula sio utani
 
Mkuu majitu ni maiti zinazo tembea yani hayajui moja wala mbili kuhusu usafi wa mazingira.

Wasomi nao ni kama hawajasoma hawana faida kwenye jamii naona wamesomea kupokea mishahara, kula, kutita na kulala.

Shida sio Kusoma . Mm naona shida ni Culture tuliyonayo.
Na hii inatakiwa ianzie tangu mtoto akiwa mdogo. Kwa jamii zote.
Na ifanyike kwa miaka mingi . Ili baadae vizaz vijavyo vitekeleze hili bila kushurutishwa.

Angalia mfano wa Taifa la Japan na jinsi wanavyolea jamii zao.
 
Mara nyingi Huwa nasema Moja ya sifa za Hilo Jiji lenu Uchwara ukiacha Uswazi ni mauchafu Kila mahala,niloshakataa kuishi hulo.

Imagine uchafu combined with msongamano,slums,madimbwi kwenye Barabara za mitaani ni shida tupu.
😀 ndiyo mana vijitu vingi vya Dar es salaam hapa afya zao tatanishi.
 
Vitu vya usafi vina kodi kubwa kama vinakuja kuongeza kipato kwa Wananchi unakuta % washing mashine na detergent za usafi zina balaa kwenye bei..
Nikweli katika hilo lakini hilo halikufanyi wewe Raia kuwa mchafu kwenye jamii yako.
 
Naomba kuongezea kidogo kwa unyenyekevu mkubwa. Je katika jiji la Dar es Salaam ni wapi kuna dustbin hasa kwenye stand kubwa za mabasi? Keep City clean ? Use me ? Kufagia sio suluhisho waweke vifaa vya kuweka taka daladala zote ziwe na dustbin
 
Hata sehemu za kishua zina nuka mfano Kariakoo, Msasani, Oysterbay, upanga, mbezi beach n.k
Kariakoo , msasani sio ushuan.
Osterbay , Upanga na Mbezi beach ya wap inayonuka?.

Hasa hasa nitajie eneo la Osterbay maana mm nafanya kaz osterbay.
 
Elimu inatakiwa ivunje hizo culture mbovu mbovu unazo zisema mkuu.

Kama elimu yako inashidwa kung'amua culture za hovyo hovyo katika jamii yako na ukaziondoa wewe ni mjinga tu kama wajinga wengine.
 
Naomba kuongezea kidogo kwa unyenyekevu mkubwa. Je katika jiji la Dar es Salaam ni wapi kuna dustbin hasa kwenye stand kubwa za mabasi? Keep City clean ? Use me ? Kufagia sio suluhisho waweke vifaa vya kuweka taka daladala zote ziwe na dustbin
Havipo ndiyo maana nimesema Watanzania ni wajinga sana.
 
 
Elimu inatakiwa ivunje hizo culture mbovu mbovu unazo zisema mkuu.

Kama elimu yako inashidwa kung'amua culture za hovyo hovyo katika jamii yako na ukaziondoa wewe ni mjinga tu kama wajinga wengine.
Nimesemea culture kwa sababu.
Kuna weng hawajasoma.

hawa je?.
Ila ukiingiza hili liwe kwenye tamaduni. Basi hata mtu ambaye hajasoma ataona yuko na obligation ya kutunza na kuweka mazingira yanayomzunguka safi na salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…