wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha,
Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote, anaweza kukupa mtaji mrefu bila kujiuliza mara mbili, uende kuhangaika kwenye ajira za mshahara wa milioni 4 umekuwa muoga wa maisha kiasi gani kwamfano ? upewe nini cha zaidi ?
Baba yake Mbowe na John Rupia hao ndio walikuwa matajiri wa kutupwa wenye kumiliki mpaka ndege za usafirishaji, Baba yake Mbowe kahusika sana kuwapatia kina Mwalimu Nyerere Fedha za kupigania uhuru
Sisemi kwamba watu wasiajiriwa, ajira zimebadili maisha ya watu wengi sana waliotokea hali duni na familia za kipato cha kawaida, ila kuna level ya utajiri ukiwa nayo kwa mazingira ya nchi unayoishi huna haja tena ya kuajiriwa, unatakiwa ufanye biashara zako, kusimamia biashara za familia, n.k.
Maisha ya kusubiria promotions za vyeo na mshahara mpaka ufike miaka 50 ya nini wakati una rasilimali za kujipromote mara 10 zaidi ukiwa kwenye 20s ?
kupitia biashara amewahi kuanzisha Club Billicanas, Hakujawahi kutokea club hapa Tanzania iliyofikia level za Billicanas mpaka leo, kawahi kuwa mfadhili wa Club ya Dar Young Africans (Yanga), kumiliki kampuni za real estate ndani na nje ya nchi, biashara za kuingiza na kusafirisha bidhaa kupitia F&M Export Company LTD, n.k. hizo ni baadhi tu.